Niende ninakopendwa ama ninakopenda!

Niende ninakopendwa ama ninakopenda!

Alvin Slain

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
6,375
Reaction score
3,665
Wanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye japokuwa ananipenda. Huyu ninayempenda anaonekana kupenda vitu vya hali ya juu na sifa asizokuwa nazo. Sasa hapa sijui niende kule ninakopendwa ama nilikopenda?
 
mwanaume mwenye akili timamu hawezi uliza swali la kitoto kama hilo, ukiona moto na maji utaenda wapi???
 
mwanaume mwenye akili timamu hawezi uliza swali la kitoto kama hilo, ukiona moto na maji utaenda wapi???[ Kinachohitajika ni maoni yako ndugu.Sidhan kama ukisema swali ni la kitoto linafuta mada yangu.
 
wanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye japokuwa ananipenda. Huyu ninayempenda anaonekana kupenda vitu vya hali ya juu na sifa asizokuwa nazo. Sasa hapa sijui niende kule ninakopendwa ama nilikopenda?
tafuta mzee unayemheshimu umuulize hilo swali then uje unipe jibu .nafikiri atakupa jibu sahihi
 
Kwa uandishi wako, unaonyesha dhahiri wewe bado ni kijana mdogo ambaye bado unasoma.

Hivyo nisingependa uchanganye mapenzi na masomo, ningependa usome kwa moyo wako wote. Hii ingekupelekea ujijengee maisha mazuri ambayo baadae mafanikio yake yataonekana kwa kila mtu.

Fanya jambo kwa wakati husika.
 
Kipi muhimu kwako KUPENDA (angalia feelings zilizokuwa associated na kupenda na kuwa na unayempenda)
au KUPENDWA (angalia care na pamparing utakazo zipata)

lakini kumbuka katika
KUPENDA, kuna kuwa taken for granted, na kuchuniwa
KUPENDWA kuna kukerekwa kwa unwanted attentions
 
A man always has got his final decission as a man lazima utajua nn ufanye na nn usifanye si kila kitu ni cha kushauriwa
 
Wanajamvi hebu tiririkeni maana sijui nichukue uamuzi gan. Kwa kifupi kuna wadada nina uhusiano nao wa karibu. Sasa mmoja kati ya ananipenda zaidi ya kupenda. Hata hivyo huyu sina mpango naye japokuwa ananipenda. Huyu ninayempenda anaonekana kupenda vitu vya hali ya juu na sifa asizokuwa nazo. Sasa hapa sijui niende kule ninakopendwa ama nilikopenda?
Heading VS main question are inconsistency....!
 
Jamani, napendwa hadi nakoma

Hadi naona feki, not used to too much attention

Kipi muhimu kwako KUPENDA (angalia feelings zilizokuwa associated na kupenda na kuwa na unayempenda)
au KUPENDWA (angalia care na pamparing utakazo zipata)

lakini kumbuka katika
KUPENDA, kuna kuwa taken for granted, na kuchuniwa
KUPENDWA kuna kukerekwa kwa unwanted attentions
 
Jamani, napendwa hadi nakoma

Hadi naona feki, not used to too much attention

i have been there, so l know how irritating it can be; lakini nami for the first time nimempenda mtu ambaye harudishi upendo back and it hurts a lot.
so ukiniambia nichoose kati ya nilikokuwa na nilipo sasa; napata kigugumizi; maana nilikotoka kuna maudhi yake sana, hapa nilipo ni maumivu ingawa ninaanza (na ninaelekea kushinda) kupunguza kupenda ili niweze survive.
 
Ha ha ha, it was iritating mwanzo
Am starting to give in ( enjoy the attention :shock🙂

Pole, it hurts kutoa attentio afu hairudishwi, but you never know, one day.

i have been there, so l know how irritating it can be; lakini nami for the first time nimempenda mtu ambaye harudishi upendo back and it hurts a lot.
so ukiniambia nichoose kati ya nilikokuwa na nilipo sasa; napata kigugumizi; maana nilikotoka kuna maudhi yake sana, hapa nilipo ni maumivu ingawa ninaanza (na ninaelekea kushinda) kupunguza kupenda ili niweze survive.
 
...achananao wote,ukaoe mke wa ndoa...
 
Kuna raha ya kupendwa wewe, jaribu kupunguza vigezo vyako na umzoee huyo akupendaye hakika hutajuta
 
pessimistic move- Nenda kwa anayekupenda (Hii ni kama hujisikii kujisumbua)
optimistic
move- Nenda kwa umpendaye (Kama uvumilivu, nia na nguvu za kupambana unazo)
reality
move- Go find someone else (Huu ndio ushauri mzuri. There should be a balance between being loved back and loving)
 
Back
Top Bottom