Niende chuo gani na kozi ipi nzuri?

Information technology(IT) au Bussiness in Information technology (B.I.T) university of Dar es salaam computing centre(ucc) au D.I.T ..ukichukua hyo course hata kama haujapata ajira waweza jiajiri na kutengeneza pesa nzuri tu
Labda kwengine lakini DIT hapati
 
Information technology(IT) au Bussiness in Information technology (B.I.T) university of Dar es salaam computing centre(ucc) au D.I.T ..ukichukua hyo course hata kama haujapata ajira waweza jiajiri na kutengeneza pesa nzuri tu


Asante sana

Dogo hii kozi usisome kwa sababu hauna physics katika masomo yako kuingia chuo kikuu kujiendeleza itakua tabu, kasime tu biashara kama account
 
Nina elimu yangu ni kidato cha nne nimepata division four ya 27
Book_keeping-D
Commerce-D
English-D
Geography-D
History-D
Kiswahili-C
Islamic-D
Basic mathematics-D
Biology-F
●NAOMBENI USHAURI KOZI GANI ITANIFAA
8354c458d09b563c7a9624727a40856d.jpg
Josiah Kibira University College (Bukoba) Utasomea Business Administration
 
Unweza kwenda NIT kusoma mambo ya finance and transport
Also unaweza kwenda tia
So popote paleee
But kwa kuwa ulikuwa na ndoto za biashara datz y? Ulisoma biashara nakushauri nenda NIT or TIA
 
njoo chuo cha serekali za mitaa hombolo na anza tayari washaanza kupokea maombi kama vip unaweza kuja maana mm ndo nishasepaga hapo mwaka Jana wapo fresh sana
Kamanda kama unalenga kutoka fasta nashauri uende Hombolo Dodoma maana ni rahisi sana kupata kazi hasa za Afisa Mtendaji ukimaliza kozi za pale mfano Local Government Administration, Human Resources n.k . Baadaye utajisomesha mwenyewe na kupunguza utegemezi hasa kwa wazazi.

Ni ushauri tu mkuu.

Sent via my Huawei Mate 8 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom