Niende chuo gani na kozi ipi nzuri?

Rams king

Member
Oct 17, 2017
22
2
Nina elimu yangu ni kidato cha nne nimepata division four ya 27
Book_keeping-D
Commerce-D
English-D
Geography-D
History-D
Kiswahili-C
Islamic-D
Basic mathematics-D
Biology-F
●NAOMBENI USHAURI KOZI GANI ITANIFAA
8354c458d09b563c7a9624727a40856d.jpg
 
Information technology(IT) au Bussiness in Information technology (B.I.T) university of Dar es salaam computing centre(ucc) au D.I.T ..ukichukua hyo course hata kama haujapata ajira waweza jiajiri na kutengeneza pesa nzuri tu
 
Asante sana
 
njoo chuo cha serekali za mitaa hombolo na anza tayari washaanza kupokea maombi kama vip unaweza kuja maana mm ndo nishasepaga hapo mwaka Jana wapo fresh sana
 
njoo chuo cha serekali za mitaa hombolo na anza tayari washaanza kupokea maombi kama vip unaweza kuja maana mm ndo nishasepaga hapo mwaka Jana wapo fresh sana

Wewe ulisoma kozi gani?
Una mshauri a some kozi uko hombolo Dodoma
Maana pana kozi nyingi pale
Local government administration
Community development
Procurement and supply etc
 
Back
Top Bottom