Niende au nimpotezee?

Nenda halafu kwenye tendo usiende
 
Kama amepanga kukumaliza? Wewe jipeleke tu. Kama anashida na Ulinzi si atafute makampuni ya ulinzi?
 
duuu
Duuuh upo wewe...
 
Nenda house boy ajipongeze naye..! Afu nyie hivi ukienda pale kesi kila siku na house boy utadhani mke kumbe mkekweli yupo ametulia..!

Angalizo ndiyo hivyo unaolewa hivyo..
 
Nenda ukatolewe kafara kuna na watu kama wewe ni hasara kwa taifa
 
Inamana ukienda mnarudisha mahusiano,
Kama unashaka pia usiende
 
Kachukue Pesa hiyo. Thought anakuhitaji, kumbe ni kwa sababu anasafiri?
 
Naomba namba zako na unihakikishie kuwa utakuwa unanibeep kila baada ya masaa 2. Hii ni kwa sababu hana nia njema na wewe. Tena huenda alikuhisi vibaya mara ya mwisho mlipokuwa pamoja sasa anataka kulipiza kisasi. Ati pesa atakuja kukupa akirudi. Kutoka wapi? Je wewe huwezi pata safari ghafla akiwa hayupo? Nnani ataichunga nyumba? Ana mpango wa kuja kukuvamia akutoe uhai aseme alikuwa safari.
 
Asa si angekwambia tu kishkaji ukamlindie nyumbani kwake ,maana anakufahamu hadi kwenu/kwako huezi kuiba
....

Mimi ningemshauri jamaa akwambie tu hivo asizunguke zunguke, kuachana sio uadui.
.
 
Kwa hiyo kakukumbuka baada ya kuhutaji mtu wa kukaa kwake?
Halafu we kwako hata pakikosa mkaaji sawa tu kwake ndipo pana thamani?
 
Ondoka njoo kwangu upate poozo la moyo jamaniii!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…