Principle girl
JF-Expert Member
- Jul 31, 2014
- 1,675
- 1,754
Wana jf naombeni mnishauri
Hiko hivi mimi kuna kijana nilikua nae kwenye mahusiano ila hatukudumu sana tukaachana na kukata mawasiliano kabisa kwa muda wa mwaka mmoja,sasa cha kushangaza leo niliporudi kwangu kutoka mihangaiko nikaambiwa na dada jirani hapa kwamba kuna kijana kaja kukutafuta kumuuliza nani huyo kijana akanitajia jina afu akanipa na namba za simu akasema amesema nimtafute na ni muhimu kweli,basi nikamtext akanipigia akauliza nipo wapi nikamwambia home akasema anakuja sababu ana shida muhimu sana nikamjibu poa,baada ya nusu saa akawa keshafika baada ya salamu akanza kuomba msamaha kwa yaliyopita na akadai kilichomleta yeye anataka kusafiri na huko anakoenda atakaa kwa muda wa miez mitatu hivo anaomba niende nikakae kwake ili kumuangalizia nyumba yake mpaka ataporudi maana hapo kwake kuna mlinzi tu na house boy,pia akanambia akirudi kuna pesa atanipatia kama zawadi..me sijamjibu nimemwambia kwanza nijifikirie sasa wapendwa nishaurini niende au nimpotezee tu?