Nabii Mleke
Member
- Mar 22, 2013
- 15
- 1
Nina mwanamke wa Kizungu ambaye kanipita miaka 10. Ananipenda na anataka niende nikaishi naye Argentina. Naombeni Ushauri na mawazo yenu.
Asante.
Asante.
unaenda kua mtumwa wa ngono
ukirudi kwenu wanakusahau!
chezea wazungu weye!
Unaona mbali sana wewe shemeji!
Utumwa wa kwanza ni kumla papai iwe hutaki ama unataka! (kula papai means kupiga mbizi kule kwenye ile kampuni yetu ya Kigoma inayo prodyuzi dawa ya mboga!)