Niende Argentina na Mzungu?

Niende Argentina na Mzungu?

Miaka 10 co kitu! siunajua maini ya nguruwe co haramu? Kama kitu kinalipa poa tu ila kama unakula kwa kufumba macho bora utemane nae brow!
 
Toa details zaidi about your relationship ili tuweze kushauri based on the level of your relationship..kirahisi rahisi hivyo no comment!!
 
Amekupenda! Je ww unampenda? Na kama utapelekwa usisahahau kuhifadhi nauli ili yakianza utoloke coz kula yako tunaihitaji 2015 nina hasira na huo mwaka yaani . .
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom