View attachment 68500
Askari wakitoa heshima za mwisho katika mazishi ya kamanda Barlow.
Naomba kuuliza risasi hizo zinazopigwa juu hazina madhara zinaporudi chini kwa bahati mbaya zikakuta mwili wa binadamu?
Ndugu kaeso, kama upo serious sana kujua tofauti ya BLANKS na RISASI HALISI na upo Dar, PM me nitakufanyia mpango utaziona na ikiwezekana kuzitumia.
Kama u asked in all honest!
Jamanie...blanks hazina mabaki...ganda la risasi linatoka pembeni ya bunduki upande wa kulia hakuna HAKUNA kinachoenda juu.
Blanks hazina kichwa cha risasi. Blanks ni kasha tu lenye baruti ambayo hutoa mlio tu inapolipuka.
Nothing more.