NIELIMISHENI JAMANI,

Retired

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
43,394
81,237
Kuna timu imemnunua mchezaji na itakuwa inamlipa Pound Sterling 600,000 kwa wiki. Kama sikosei ni timu ya China.
Swali, kwa gharama kama hiyo timu hiyo inanufaika na nini kwa mchezaji huyo. In other word how much does that team earn by having such an expensive player
 
China ni nchi yenye wananchi wengi kwahiyo watauza jezi sana, na wanataka kuboost ligi yao iwe kama za ulaya
 
Vifaa vya michezo,matangazo ya biashara vyote vitarudisha hela yao.
 
Pia kama mchezaji huyo ni mzuri means atasababisha timu ifanye vizuri, na ifike mbali.
Na unajua kwa wenzetu kila timu inavyofanya vizuri wanapata zawadi nzuri tu
 
Hii ndiyo Capitalism ....mataifa yanapigana vikumbo kutafuta umaaluf kwa aina yeyote ile. ....
 
Back
Top Bottom