SEMA MKUU KUWA MAKINI KUNA AGENTS WA C.I.A
Nacopy tu vya waliosoma alafu nakuja ku paste humuwapi uongo tu... wakati wewe kwako kiingereza ni kama kunywa maji
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaa, umeona eeh HajarHahaaa. Sina hakika kama hana akijuacho ndugu yangu ila anatuchemsha tu.
Sasa me Sina hakili paka nitake kueleweshwa mbona watanzania wagumu kuelewaHahaaa. Sina hakika kama hana akijuacho ndugu yangu ila anatuchemsha tu.