B Bwana Miti Member Joined May 6, 2018 Posts 17 Reaction score 1 May 8, 2018 #1 Tafadhari, kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya eti biashara inayoitwa 'PAY DIAMOND' tafadhari atuelimishe na wengine tusije tukaliwa pesa zetu jamani. Maana leo nimekutana na dada mmoja wa kihaya amenishawishi sana sana ila nafsi imekataa kabisa.
Tafadhari, kwa yeyote aliye na ufahamu juu ya eti biashara inayoitwa 'PAY DIAMOND' tafadhari atuelimishe na wengine tusije tukaliwa pesa zetu jamani. Maana leo nimekutana na dada mmoja wa kihaya amenishawishi sana sana ila nafsi imekataa kabisa.