ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,685
voda ni 1800Simu inaweza kua ina support LTE 4G ila je, bands wanazo offer service provider zinakua supported katika simu yako?
Kwa kuanza, tumtafute mjuvi atakaetuambia 4G LTE za voda na tigo zipo katika bands zipi?
cc Chief-Mkwawa
Mkuu kwani Voda wanatumia band gani? Kama sio 900, 1800? na specification ya simu ya jamaa inaonyesha kuwa band zote zipo...4g ya voda na tigo ni bands tofauti inawezekana simu ikasuport 4g ya mtandao mmoja na kukataa ya mtandao mwengine. hio M9 yako ni ipi? nends setting halafu shuka chini hadi about angalia version yake ni ipi ili tujue band zake
hizo specs ukiziangalia zipo nyingi kuna band za EMEA (version ya Europe, middle east na Africa) zipo za T-mobile, At&T etc hivyo itategemea na yeye simu yake ni ipiMkuu kwani Voda wanatumia band gani? Kama sio 900, 1800? na specification ya simu ya jamaa inaonyesha kuwa band zote zipo...
Je IMEI si inatumika kuverify genuity ya simu tu....
Mi nadhani dada ni K.ILAZA tu na si vinginevyo...
Tigo wanatumia 725-925 means band ya 800....
4g ya voda na tigo ni bands tofauti inawezekana simu ikasuport 4g ya mtandao mmoja na kukataa ya mtandao mwengine. hio M9 yako ni ipi? nends setting halafu shuka chini hadi about angalia version yake ni ipi ili tujue band zake
Mbona mimi IMEI namba hazianzi na hiyo 99 inaanza 35Kama imei namba za simu yako zinanzia 99 haiwezi kusapoti 4G ya voda. Una bahati ata hiyo 4G ya Tigo imekubali.
Hicho na mimi ndo nilicho hisi mkuu! Sasa ninatafuta line ya mtu alie swap kwenda 4G niiweke humu nione itasoma au haita somaMkuu kwani Voda wanatumia band gani? Kama sio 900, 1800? na specification ya simu ya jamaa inaonyesha kuwa band zote zipo...
Je IMEI si inatumika kuverify genuity ya simu tu....
Mi nadhani dada ni K.ILAZA tu na si vinginevyo...
Tigo wanatumia 725-925 means band ya 800....
Nimekuelewa sanaa kaka!hizo specs ukiziangalia zipo nyingi kuna band za EMEA (version ya Europe, middle east na Africa) zipo za T-mobile, At&T etc hivyo itategemea na yeye simu yake ni ipi
kuhusu kuangalia imei ni tatizo kwa kweli maana hata tigo wanawaambia watu kibao kuwa simu zao hazikubali 4g wakati uhalisia zinakubali.
dawa yao hawa ni kuwaambia tu nina modem ya 4g ye akusajilie line ipo nyumbani modem, kazi ya kuangalia kama band zinakubali au hazikubali ufanye mwenyewe na sio wao.
nafikiri Trainer wao ndio wanakuwa hawataki tabu wakachagua njia hio
Na wahudumu wengi hawana uelewa juu ya 4G kiukweli ni wachache sana ambao wanakuwa wanauelewa na 4GKwakweli huyo dada atakuwa ****** hata htc one m9 haijui akaona utamuumbua ndomaana kakupeleka kwenye maswala ya Tcra kuwa simu yako ni feki ila hii mitandao yetu imekurupuka sana na 4G wakati hawajajipanga kuwaudumia wateja wake.
Ni kweli akati hiyo line inatumia kwenye simu zote sasa maswali mengi ni ya nini sijuiSijaona mantiki ya mitandao ya simu kuuliza swali la Kama simu inasapoti 4G.
Wewe swap line mtu atajua mbele ya safari mwenyewe.