Nielewesheni jamani ufaulu hu PCB

Nielewesheni jamani ufaulu hu PCB

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,181
Reaction score
96,271
Huyu mtot wetu ana CBB ya PCB respectively, amekosa MD vyuo vyote ! Nini inaweza kuwa sababu?
 
Daah mpe pole sana ila mwaka huu kuna competition kubwa sana kweny vyuo
 
Akaoombe bugandoo MD au st john pharmacy na pia kama upo vizurii ajaribuu kairuki lakini mwanao naamini hawezi kukosa ila ndio fikra za watahiniwa wengi wa kidato cha sita kama ni PCB anawaza MD muhas na kama ni PCM anawaza eng udsm
 
exactly alijaza Muhas, cuhas , kcmc peke yake!
 
exactly alijaza Muhas peke yake!
Ohooooo pole sanaa mzazi ila asikate tamaa ajaribu nyingine ila amefanya kitu ambacho hakitakiwi kabisaa.
Sijui kama muhas wataweka second round mwaka huu maana mwaka jana kuna mtu nilikuwa namfahamu alikuwa na 2 akakosa kabisaa na muhas hawakuwa na second round lakn mwaka huu alijaribu hizii scholarships mbalimbali za china akabahatika ya chuoni direct ila halipiwi ada yote anachangia percent fulani na kila mwezi anapewa living allowance accomodation ni free.

Note:Sijaandika hivyo ili niwe kama agent wa kupeleka hapana ni kukupa moyo kwamba akikosa au ikitokea chochote ajue ya kwamba kuna mahali MUNGU amemuandalia bora zaidii na pia usipende kutumia agent kumpeleka mtoto akasome abroad kama mambo si mazuri (nisameheni siharibu biashara za watu) maana china huwa wanatoa sponsor za masomo hata undergraduate ila watanzania tupo nyuma sanaa webzetu wa west africa wanazichangamkia sanaa pamoja na pakistan.
Shukrani
 
Ushauri mzuri. ngoja ajaribu second round, ikishindikana tujaribu sholarship ulizozisema. asante
 
Sawaaa ila sio mwakaa huu na asiwe anategemea asilimia mia atapata (expectation kills) ni mwakani zinaanza kwanzia mwezi wa pili hadi wa nne (nyingi) ila zinaweza kuzidishwa muda.
Ila aamini atapata na ajaribu program nyingine maana elimu yetu kwa sasa sio unajipangia wewe unataka uwe nani hapana bali system ndio itakufanya wewe uwe nani.
Namtakia mapambano memaa
 
asante
 
asipanic atapata, awe na subira aombe second round kwa vyuo kama cuhas, kcmc, Udom kuna watu wengi wana multiple selection, so nafasi zitapatikana baada ya confirmation.
 
Muhas, cuhas, KCMC
Nikisoma uzi huu na aina yake napata simanzi kubwa sana-kijana mwenye point 11 anakosa program ya MD na nina hakika hayuko peke yake. Vyuo ambayvo hakuomba ni Kairuki, UDOM na ST Joseph. Bahati mbaya roundi ya pili hawasemi nafasi ngapi zipo na zinapatikana chuo gani. Hivyo unaomba tena ukiwa gizani. Mimi naona aombe vyuo vyote pamoja na vile aliomba roundi ya kwanza (kama bado anataka medicine)- kuna wenye multiple selection ambao wata achia nafasi.
Lakini kama familia ina uwezo waangalie possibility ya kumpeleka nje. Hapa watu kama Global Education Link (Mr. Mollel), Universities Abroad Link (Tony Kabetha) wanaweza kusaidia kutafuta vyuo vyenye gharama nafuu).
Kwa ujumla combi ya PCB ambayo vijana wengi wanaichukua wakifikiria kuja kuwa madakitari sasa imekuwa shida sana: HATUNA VYUO VYA KUTOSHA KWA SASA (St Francis, Bishop James, IMTU na KIA bado wamefungiwa na UDSM iliyohamia Mbeya bado nao wanajipanga) hivyo huko mbele huenda kukawa na afadhali lakini kwa sasa ni shida. Pia kijana akikosa mkopo ada inakuwa shida). Serikali inatakiwa kutafuta njia za kutatua hili tatizo kwani watu wameanza kufikiria kuwa PCB kwa ajili ya MD ni maumivu zaidi ya faraja kama uwezo wa familia ni mdogo.
 
asante ngoja tujaribu ushauri wako
 
Back
Top Bottom