Nielekezeni machimbo ya kula bata Tanga

Nielekezeni machimbo ya kula bata Tanga

True Man11

Member
Joined
Oct 14, 2022
Posts
86
Reaction score
119
Wakuuu,

Nimekuja Tanga leo kwa mara ya kwanza, naomba wenyeweji mnipokee na mnaoijua Tanga naomba mniambie wapi napata usingizii mzuri?

Nitakuwa hapa kwa siku mbili na mambo yangu kidogo, naombeni machimbo ya vitu vizuri vyovyote vya Tanga😊
 
Wakuuu, nimekuja tanga Leo kwa mara ya kwanza, noamba wenyeweji mnipokee na mnaoijua tanga naomba nimabieni wapi napata usingizii mzurii?? Nitakuwa hapa kwa siku mbili na mambo yangu kidogo, naombeni machimbo ya vitu vizuri vyobtote vya tanga😊😊
Maguest mengi sana mazuri.
Starehe: Tanga pazuri, Ngoreme ...all in sabasaba grounds.
 
Wakuuu, nimekuja tanga Leo kwa mara ya kwanza, noamba wenyeweji mnipokee na mnaoijua tanga naomba nimabieni wapi napata usingizii mzurii?? Nitakuwa hapa kwa siku mbili na mambo yangu kidogo, naombeni machimbo ya vitu vizuri vyobtote vya tanga😊😊
Vishundu na zinaa zinamaliza nguvu kazi ya taifa....🤄
Ila Tanga raha shekh....😜
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom