Acha Uwongo na kutaka kuwatafutia Chuki hao Watangazaji kwa Wasikilizaji wao. Ukweli ni kwamba hata Mimi mwenyewe niliisikia ile ' interview ' yao na Mzee Rage na hata ikirudiwa kokote pale utamsikia Shaffi Dauda ameanza kumkaribisha Mzee Rage na akamuamkia kabisa Shikamoo ndipo na Mtangazaji mwenzake nae Alex Luambano akamsalimia hivyo hivyo Shikamoo. Kwa hili nitawatetea hadi Kaburini kwani nimeshuhudia kwa Kusikia kwa masikio yangu mwenyewe labda Wewe ulikuwa ' busy ' tu na mambo yako mengine ya Kifamilia.