Nidhamu ya hela

Nidhamu ya hela

bbwaoy

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
466
Reaction score
468
Si tatizo geni hasa Kwa vijana wengi ambao wana aanza kutafuta maisha nikiwemo na mimi mwenyewe kua na tabia ya "matumizi mabaya ya fedha " binafsi napenda sana luxury stuffs sio lazima kiwe na bei kubwa ila so long as its a few luxury stuff huwa sioni tabu kuvuta mkwanja bank na kwenda kununu. Mfano; nguo, viatu, gadgets, drink+food yani kwa kifupi napenda UBORA sana ...sasa hii tabia sijui ni mbaya kulingana na ninacho ki depost bank au vp ..

Swali langu sasa: ni kwa jinsi gani au ni njia zipi mimi na yule tunaweza zifata au kuzingatia ili kuweza kua na hekima ya matumizi ya hela/kipato
 
Kwanza, kama unaenda shopping andika mahitaji yako yote kulingana na pesa yako itakavyokutosha, hii itakusaidia kuepuka vishawishi vya kutamani na vitu vingine.

Pili, usipende kupata kila fashion itakayotoka, kama pesa yako inakuruhusu sawa, maana utakuta mtu kila simu itakayotoka anaitaka, nguo mpya anaitaka, ilimradi tu aende sambamba na fashion.

Tatu, jitahidi kununua vitu imara vitakavyoweza kudumu muda mrefu, hii itakupunguzia kununua vitu vya aina moja mara kwa mara.

Mwisho, usipende out zisizo na umuhimu, kaa nyumbani panga ratiba zako vizuri, vijana sisi tunajuana matumizi yetu tunapotoka. kwa mwezi ukinunua kifurushi cha 30,000 DSTV itakusaidia w'end kutulia home kuchek game mbalimbali hivyo kukupunguzia gharama za mara kwa mara
 
Shukran kaka nime pata kitu!!!!
 
Kikubwa achana na maisha ya kutafuta sifa, Watanzania wengi tunaishi kufurahisha ndugu, jamaa na marafiki, wewe ishi unavyo taka usiishi wengine wanavyo taka,kama kazini watu wanapiga Lunchi ya elfu 10 wewe piga ya buku mbili, hata wakikusema kiasi gani kikubwa stiki kwenye kuishi unavyo taka, hapa duaniani uko peke yako na siku ukipigika ndo utajua kwamba uko pekee au la,
 
Kwanza, kama unaenda shopping andika mahitaji yako yote kulingana na pesa yako itakavyokutosha, hii itakusaidia kuepuka vishawishi vya kutamani na vitu vingine.

Pili, usipende kupata kila fashion itakayotoka, kama pesa yako inakuruhusu sawa, maana utakuta mtu kila simu itakayotoka anaitaka, nguo mpya anaitaka, ilimradi tu aende sambamba na fashion.

Tatu, jitahidi kununua vitu imara vitakavyoweza kudumu muda mrefu, hii itakupunguzia kununua vitu vya aina moja mara kwa mara.

Mwisho, usipende out zisizo na umuhimu, kaa nyumbani panga ratiba zako vizuri, vijana sisi tunajuana matumizi yetu tunapotoka. kwa mwezi ukinunua kifurushi cha 30,000 DSTV itakusaidia w'end kutulia home kuchek game mbalimbali hivyo kukupunguzia gharama za mara kwa mara

Ishu sio kununua vitu imara ishu ni kwamba mtu awe na tabia ya kuwekeza kwenye asset badala ya libility, ishu sijui

Kikubwa kwenye life ishi unavyo taka na ishi ukijua kuna kesho, hizi kazi zinasiha muda wowote tena kama unafanya private company ndo kabisa kupigishwa chini ni at nay time na hata kama ni Serikalini bado nako kwa sasa sio salama make kuna mabadiliko yanakuja, watu wanajisahau, watu wanaishi kushindana unakuta sehemu ya kazi wafanya kazi wanashindana kwa Magari, simu, pamba, vyakula wanavyo kula mchana na kazalika, ila akili huja kurudi siku mtu anavyo pewa barua ya end of contract
 
Aise mpaka mwili ume tetemeka
 
Si tatizo geni hasa Kwa vijana wengi ambao wana aanza kutafuta maisha nikiwemo na mimi mwenyewe kua na tabia ya "matumizi mabaya ya fedha " binafsi napenda sana luxury stuffs sio lazima kiwe na bei kubwa ila so long as its a few luxury stuff huwa sioni tabu kuvuta mkwanja bank na kwenda kununu. Mfano; nguo, viatu, gadgets, drink+food yani kwa kifupi napenda UBORA sana ...sasa hii tabia sijui ni mbaya kulingana na ninacho ki depost bank au vp ..

Swali langu sasa: ni kwa jinsi gani au ni njia zipi mimi na yule tunaweza zifata au kuzingatia ili kuweza kua na hekima ya matumizi ya hela/kipato

Nidhamu ya hela Huja pale unapojua nini unataka katika Maisha yako na ni kwa namna gani utafikia hiyo ndoto yako.

Kuwek hela bank bila mpango ama nia mathubuti ndio sababu ya kuwa na matumizi mlipuko kama hayo uloyataja.

Na hii mara nyingi hutokana na kutokuwa na ile Long term thinking. Yaani bila kujua utakuwa nani in next Five years, three or two ama hata One year kwa asilimia kubwa kutafanya ubongo wako u concentrate on current short term needs kama nguo n.k.

Kwanza ni muhimu sana kujua ni aina gani ya maisha unataka na how to do to get that Life.

If you Like spending, then you should also know how to chase the Papers. Invest, Yield Profit, Increase value kisha utapata za kutosha kuspend.

Katika Maisha nimejifunza kuwa, kwa kila jambo nilifanyalo leo/sasa lina gharama yake leo ama kesho. Wapo watu wengi sana wana maisha magumu sana leo,lakini ukiwauliza historia zao wanakwambia waliwahi kuwa madon mjini, ila wakafulia mbaya. Mcheki Mr. Nice utaona gharama kubwa wanazilipa sasa kwa maamuzi mabovu ama mabaya walofanya pindi wanapesa.

Sasa jiangalie kisha jiulize ni gharama ipi upotayar kulipa. Ya kujinyima sasa na kuinvest ktk kile unachokiamin kuwa kitakupa lasting Success ama ule bata kwa ujira wa Ajira huku ukitegemea nssf ndio ikutoe.

Life is all about choices.
 
Nafikiri niache sasa kuvaa sana manake huu ni ugonjwa, starehe sio mtu sana Wa starehe nina weza cut off na isi nia affect hata chembe..... I think kubwa ntalo weza fanya niku cut - off unnecessary expenses.
 
Nidhamu ya hela Huja pale unapojua nini unataka katika Maisha yako na ni kwa namna gani utafikia hiyo ndoto yako.

Kuwek hela bank bila mpango ama nia mathubuti ndio sababu ya kuwa na matumizi mlipuko kama hayo uloyataja.

Na hii mara nyingi hutokana na kutokuwa na ile Long term thinking. Yaani bila kujua utakuwa nani in next Five years, three or two ama hata One year kwa asilimia kubwa kutafanya ubongo wako u concentrate on current short term needs kama nguo n.k.

Kwanza ni muhimu sana kujua ni aina gani ya maisha unataka na how to do to get that Life.

If you Like spending, then you should also know how to chase the Papers. Invest, Yield Profit, Increase value kisha utapata za kutosha kuspend.

Katika Maisha nimejifunza kuwa, kwa kila jambo nilifanyalo leo/sasa lina gharama yake leo ama kesho. Wapo watu wengi sana wana maisha magumu sana leo,lakini ukiwauliza historia zao wanakwambia waliwahi kuwa madon mjini, ila wakafulia mbaya. Mcheki Mr. Nice utaona gharama kubwa wanazilipa sasa kwa maamuzi mabovu ama mabaya walofanya pindi wanapesa.

Sasa jiangalie kisha jiulize ni gharama ipi upotayar kulipa. Ya kujinyima sasa na kuinvest ktk kile unachokiamin kuwa kitakupa lasting Success ama ule bata kwa ujira wa Ajira huku ukitegemea nssf ndio ikutoe.

Life is all about choices.

Upo 100% sawa kabisa.

Kwa kuongozea ni kwamba 70% ya kipato chako awekeze kwenye asset za kumuingizia kipato zaidi.
 
uko sahihi mkuu
 
No comment!! umeuaaaa!
 
Nidhamu ya fedha ndio nini. ...jifunze kutafuta fedha zaidi.

Hii ni principle ya mafioso
 
Watu utafuta pesa Ili watumie,tumia kulingana na unavyopata bila kusahau kuweka akiba,watanzania wamezid mshahara Laki 4 Lakin simu ya million
 
Kwanza, kama unaenda shopping andika mahitaji yako yote kulingana na pesa yako itakavyokutosha, hii itakusaidia kuepuka vishawishi vya kutamani na vitu vingine.

Pili, usipende kupata kila fashion itakayotoka, kama pesa yako inakuruhusu sawa, maana utakuta mtu kila simu itakayotoka anaitaka, nguo mpya anaitaka, ilimradi tu aende sambamba na fashion.

Tatu, jitahidi kununua vitu imara vitakavyoweza kudumu muda mrefu, hii itakupunguzia kununua vitu vya aina moja mara kwa mara.

Mwisho, usipende out zisizo na umuhimu, kaa nyumbani panga ratiba zako vizuri, vijana sisi tunajuana matumizi yetu tunapotoka. kwa mwezi ukinunua kifurushi cha 30,000 DSTV itakusaidia w'end kutulia home kuchek game mbalimbali hivyo kukupunguzia gharama za mara kwa mara

Well Said Mkuu
 
Back
Top Bottom