Nidhamu Jeshini

Mpagama

Senior Member
Joined
Jan 9, 2011
Posts
127
Reaction score
7
Wana JF hii mnaionaje?
 

Attachments

  • dog-590x438.jpg
    143.9 KB · Views: 527
Kijana siyo jeshini mahali popote pale nidhamu ndiyo msingi wa kazi na hata ukitaka mafanikio mazuri wewe kuwa na nidhamu tuuuu//
 
Hawa wana vyeo vya kijeshi na mishahara yao minono. Wanakula vizuri na kupata huduma za afya bora.
 
Dah! hivi kumbe hawa viumbe wanafundishika kwa kiasi kibwa namna hii. :msela:
 
Hadi hawa viumbe wana nidhamu namna hii!!!
 
Kijana siyo jeshini mahali popote pale nidhamu ndiyo msingi wa kazi na hata ukitaka mafanikio mazuri wewe kuwa na nidhamu tuuuu//

Order from you executive(boss) must be reasonable!sio hata ukiambiwa uiname unainama tu,eti unatii na una nidhamu!huo ni ujinga !!
 
kwa nini jwt tusiigeuze security guard wakalinde shule za kata?
 
Ni kati wanyama amabo unaweza kuwafundisha mambo mengi sasa
 
Nakumbuka ule msemo wa watoto wa mjini,
"heri niwe mbwa ulaya kuliko...
 
Mwenye akili anajuwa kufudisha mpaka hayawani anaelewa, wabongo tumeshindwa hata kufudisha forofo wakala mizinga ya kufa mtu-tuna akili kweli?

Si unaona, sukari inapanda kwa 25% ndani ya mwezi, mabomu yanatulipukia kwa uzembe wa mshenzi fulani tumetulia, jamaa kachakachua uchaguzi tunaona hayatuhusu miaka 5 siyo mbali, machinga wana timuliwa mjini bila kupewa alternative, tunaona shauri yao, wamegawa madini yote tunaona bomba tu hivi tulilogwa na nani?
 
jeshini unatakiwa kutii amri kwanza hoja badaye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…