Nida

Nida

gasscan

Member
Joined
Dec 3, 2014
Posts
39
Reaction score
7
habar jmf, knatarfa hawa jamaa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (nida)wanatarajia kuajir soon 2015, mwenye tarifa izo atujuze, tunasugua sana vijiweni
 
habar jmf, knatarfa hawa jamaa mamlaka ya vitambulisho vya taifa (nida)wanatarajia kuajir soon 2015, mwenye tarifa izo atujuze, tunasugua sana vijiweni

mh mwaka jana nilickia wamewachukua vijana toka jkt ila fatilia vzur maan kuna taarfa za chin ya kapet kwamba wamerudizhwa...!!
 
Vijana wa jkt walichukuliwa kwa muda ila sasa wamerudi makambini kwa ajili ya kuajiliwa polisi,magereza,na jwtz
 
Back
Top Bottom