nyundo2017
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,437
- 861
Inasikitsha sana huu mfumo wa kusajiri kampuni kwa kutumia kitambulisho cha NIDA ambacho unakipata zaidi ya miezi mitatu.
Sasa kunakurekebisha taarifa BRELA watu wanashindwa kwanini NIDA wasitangulize kutoa namba ili wananchi wajisajiri wakati wanasibiri vitambulisho hivyo.
Serikali inakosa mapato kwa uzembe na je ambao wanarekebisha taarifa tu wafunge makampuni kwa kusubiri vitambulisho?
Je ambako NIDA hawajafika kuandikisha na watu wanatakakufungua makapuni wafanyeje?
Huu ni uzembe