NIDA wanatengeneza hela kupitia vyanzo gani?

NIDA wametoa gawio la bilioni 38.8 kwa serikali. Naomba kufahamu vyanzo vyao vya mapato.
NIDA wanapata hela kupitia vitambulisho vyao.
Mfano ukienda Bank kufungua akaunti ukaambiwa leta namba ya NIDA , BANK wao watachajiwa shilingi 500 kwa kila mteja atayefungua akaunti .

Kadhalika ukienda kutafuta uhamiaji kutafuta passport ukiombwa namba ya NIDA, uhamiaji wanatozwa shilingi 500.

Kiufupi ukienda taasis yeyote ukaombwa namba ya NIDA kwa ajili ya matumizi yao jua kuwa kuna charges ya shilingi 500.
 
Huu ni wizi wa nje nje. Serikali inafanya wizi maana tayari wanalipwa kodi na kuna fedha za bajeti NIDA wanapewa.
 
Msisahau mwakani kuangalia Repirt ya CAG hawa hawa ndio wanaongoza kwa hasara na wizi.

Leo wanatoa gawio, kesho utasikia Mkurugenzi kafukuzwa kwa kisababishia hasara za mabilioni ya shilingi, na Takukuru wanakumbushwa kumkamata na kumfungulia mashitaka.
 
Muda mwingine hundi huwa ni bortion tu hata hakuna uhalisia ...Maana hawatuamnii inavyokua calculated.
Kumbuka kipindi cha jiwe kuna taasisi zilikua zinawasilisha gawio hlf CAG akija kukagua anakuta hiyo taasis haijawahi kutoa gawio kwa serikali miaka 3 huko.
 
Back
Top Bottom