NIDA wameanza kufunga namba

Alafu hana kitambulisho cha NIDA anaishi Kigoma na kusema Nne bajui anasema ine, kusema mtu hajui anasema Mutu , na Immigration wanafanya doria muda wote
Atajua hajui. Safari ya Kigoma ni kama unaenda nchi jirani. Ukaguzi ni mkali mno.
 
Wewe mpuuzi kama kitambulisho hakina maana asiende kuchukua. Halazimishwi.
 
Alafu hana kitambulisho cha NIDA anaishi Kigoma na kusema Nne bajui anasema ine, kusema mtu hajui anasema Mutu , na Immigration wanafanya doria muda wote
Uhamiaji wakaze maana wakilegeza tu miaka kumi ijayo Kigoma itamilikiwa na warundi wamekuja na njia ya kuzaliana kwa wingi huku wakiwazalisha wanawake wa kitanzania.
 
Wewe mpuuzi kama kitambulisho hakina maana asiende kuchukua. Halazimishwi.
Umepaniki ukiwa umevaa bikini ya rangi gani mama Samia?
Kitambulisho hard copy cha nini wakati namba ndio umebeba Taarifa zote?
Nyie primitive mbona mnaushamba wa kisokwe hivyo
Numeral ndio zimebeba Taarifa hiyo hard copy inaweza potea wangekuja na sera kwamba usipokua na Nida unagutiwa uraia na wao wakawa wanatoa kwa wakati na bila mlolongo Sawa ila hizo drama zao za kijima inadhihilisha ni watu wajinga waliokosa ubunifu na kwenda na wakati

Pharrell wewe!
 
Kama ulikua unatuma zile meseji za "ile hela tuma kwenye namba hii" au unatuma meseji zinazofanana kwa watu wengi ndani ya muda mfupi , laini na namba yako ya Nida inafungwa au kimoja wapo.
Sasa mimi nitajuaje jamani
 
Ukiritimba tu wa hiyo kitengo kwanini wasingetoa Vitambulisho Moja kwa Moja wakaanza kutoa namba na saizi wasumbue wananchi,
Vitambulisho vya kura wanafyatua muda huo huo kwa sababu vinawaingiza madarakani Nida aaaah!

Shabhaaash!
Very true
Kwann vya kura unapata hapohapo hivi vishindikane
 
Duuu au kisa watu wanakufa na wengine hawataki kufata card zao
 
Mimi niliweka namba ya simu nyingine ambayo Sasa sizitumii sijui watanipa taarifa kupitia wapi Ili nifuate kitambulisho
 
Walitangaza kuwa watu mkachukue SS watz mnapenda kuchukukia poa
Kwahiyo baada ya miaka 13, ndo uone kuwa ni lazima uwe na kipande?

Na mnaona no busara kuteketeza hivyo vipande na namba kabisa?

Mwaka fulani, mlitumia pesa za umma kutengeneza mitaa, address na postcode, mlipokuwa mnaenda kutafuta watu wa kupiga kura SM, mligonga nyumba kwa nyumba, nini mnashidwa kupeleka hivyo vipande kwa wale WAJUMBE wavisambaze?
 
Nilimsikiliza yule boss wa NIDA aliongea kimadaha sana kwamba watazifunga namba kwa ambao hatujachukua vitambulisho,kumbe sasa zoezi limeanza
 
Huo ubunifu peleka kwenu Burundi.
 
Wengi walitoka Kigoma kujiandikisha Temeke toka nchi jirani

Usalama wakaona wacheleweshe kuvitoa wakijua hawana uwezo wa kifedha wa kukaa kusubiri

Wakatimka kurudi kwao

Sasa kuambiwa njooni mchukue kimbembe

Ndio huyo analalamika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…