Hii NIDA ingefutwa kabisa na tuanze upya.
Hakika kuna wakongo, wakenya, waBurundi, wa Nyarwanda etc ambao wana IDs za MTanzania
Huu uzembe ukiachwa sisi waTanzania tutaangamia kwa ujinga na tamaa za wachache.
Rais, TISS yawapasa kulichukulia hili swala very serious.