BigBaba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2017
- 1,908
- 9,041
Ndugu zangu hakuna siku niliyopata hasira kama leo mnamo tarehe 28/3/2018 nilisikia tangazo kwa Radio kwamba Nida wanandikisha kwa watu walio kwenye mifuko ya kijamii ambao hawakupata wakati wakujiandikisha kipindi zoezi linaendelea mitaani nami ni mmoja wao.
Zoezi lilitangazwa litaanza tarehe 28/3 - 20/4 nikapanga kwenda morogoro kujiandikisha mana ni mkazi wa Moro na kituo changu cha kazi ni morogoro sema nipo Arusha kwa kazi maalum. Na NIDA mkoa wa Moro ndio waliotoa Tangazo hilo.
Kilichonichefua nilipofika ofisi za NIDA kujiandikisha siku ya leo ni kauli mbovu na mapokezi mabovu ya wafanyakazi wa ofisi hiyo. Kwanza nilipoingia wameanza kusukumiana nenda meza hiyo nikienda nasukumwa meza ya mbele nikawauliza mbona hivi, mnajua umbali niliotoka na muda niliotumia mpaka kufika hapa acheni hizo.
Nikasumwa tena meza ingine afisa wa meza hiyo akaanza kunihoji unakaa mtaa gani kazi na mambo mengi nikajua ndo naelekea kuandikishwa sikuamini nilipoambie mtaa unaokaa wewe tushaandikisha njoo mwezi wa sita nikamwambia mbona tangazo lenu ninawataka watu walio kwenye mifuko ya kijamii waje Nida kujiandikisha akadai eti walikuja ofisini kwetu kuandikisha watu wakajiandikisha wachache kwa hiyo tusiwasumbue.
Nikamuuliza unajua wajibu wako kweli au umewekwa tu hapo ofisini? hujui nmetoka Arusha mpaka hapa kwajili ya hii kazi harafu we unaona nmekuja kupoteza muda
Nikasepa sitaki tena kujiandikisha na hicho kitambulisho chenu sitaki. Halafu hapo ofisi naona wahindi wanawanyenyekea kishenzi Kwa ujumla ofisi ya NIDA ya mkoa wa Morogoro ni ujinga mtupu. Wapeni hao wahindi hivyo vitambulisho