NIDA, mbona wageni wana vitambulisho na sio namba?

Usalama wa taifa ni toilet paper ya ccm

Sent from my SM-A325F using JamiiForums mobile app
 
Hakika ni hatari kubwa. Na sasa mchezo umeigwa kwenye vyeti vya kuzaliwa. Utaratibu mpya wa kuvipata imekuwa fursa kwatendaji.
 
Kwanza elewa kwa mgeni kuwa na kitambulisho sio kosa, sharti ajiandikishe kama mgeni
 
Inchi isiyothamini uraia wake..

Inakuwaje MGENI kupewa uraia kirahisj kiasi hicho?
Yaani Bongo wageni kupigwa uraia ni inategemea na mfuko wako, kwa hawa maarufu kama wanamziki wa kongo sio rahisi.Ila wale wasio julikana wanapigwa sana Uraia
 
Kwanza elewa kwa mgeni kuwa na kitambulisho sio kosa, sharti ajiandikishe kama mgeni
Utakuww wewe ni mjinga,kwani mimi sielewu aina za vitambulisho? nazungumzia both ila sana Vitambulisho vya Uraia,Wageni wana vitambulisho vya uraia sio vya ukaazi.
 
Hizo nida zinge Rudi kwenye serikari za mitaa ingekuwa sawa hao wengine uizi tu
 
Kubwa kuliko zote la NIDA ni hili la mtu mmoja kuwa na vitambulisho viwili ama vitatu.
Nina rafiki yangu ana namba nne za simu ambazo zote zimesajiliwa.
Maajabu ni kama ifuatavyo;
Namba ya 1 majina ni G.B.A
Namba ya 2 majina ni G.B.H
Namba ya 3 majina ni G.B.M
Namba ya 4 majina ni N.B.A

Hii inawezekanajee!!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…