Kana-Ka-Nsungu
JF-Expert Member
- Oct 4, 2007
- 2,257
- 373
Mhh wakubwa wanafaidi kweli.
Kama ni kweli Nicole Scherzinger amejiengua pusscat dolls, litasambaratika maana alikuwa kinara kwenye hilo kundi.
Oooh ulichokisema ni sahihi.....unajua siwezi kukupinga!
Masa, ina maana hujiwezi kwa huyu binti ama ni points zake?
I thought huyu demu alienda solo at least two years ago alipoanza kufanya kazi na Timbaland oh well all the best.
Oyaaa...wapi leo mazee? bbq?
lol hili jina la hili kundi lina utata.....
Nicole mwenyewe vina utata..cheki alivyoshika mike vizuri......goal lazima itasogezwa tu kwa hali hii...
Yule dogo lewis ndio anamega ngoma hii? kudadadeki anafaidi aisee
umenikumbusha mwahjumer ch***pi kubwer.....Ata wewe ukiwa na hela ndefu utamega kitu roho inataka utaachana na akina Havintish Nyamch_pi.