GE2025 Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara

GE2025 Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Wont be the same

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2024
Posts
1,564
Reaction score
2,483
Wakati zoezi la uchukuaji wa fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwa makada wa Chama cha Mapinduzi likifika siku ya pili Kada wa Chama cha Mapinduzi Nicolaus Chichake amechukua kuomba ridhaa kwa Jimbo la Tarime Vijijini Mkoani Mara.

Akizungumza mara baada ya kuchukua fomu katika Ofsi za Chama cha Mapinduzi Tarime Mjini amesema amewiwa kama kijana kuomba ridhaa kama Chama kitamchagua atakikisha anakuwa sehem ya wananchi katika kuwagusa wananchi katika kuwaletea Maendeleo katika Nyanja mbalimbali ikiwemo Afya ,Elimu na Maji pamoja na kuyagusa makundi yote
 
Back
Top Bottom