Niliambiwa huku IST sio hata gari ya kuiombea ushauri au kujiuliza kununua au usinunue, nikaambiwa kabisa kua ni gari za taifa hivyo kama pesa ipo just go for it...
Huku wanasema njoo uombe ushauri kwa gari kama Range, Chevrolet, Audi, Mercedes Benz, Renault, Honda, Hyundai, Lamborghini, Ferrari, Maserati, RAM, Volkswagen, KIA, Ford n.k