Nichukue hatua gani hapa?

huyu demu kesha kutest na umeingia mkenge utarajie kusumbuliwa mpaka kupigwa chini si kitambo.Usimwamini mwanamke wa umri huo hata siku moja utariai wewe
 
Hakuna haja ya kuwaeleza ndgu. Wewe mwenyewe unauwezo wa kumweleza. Mkalishe chini mpige somo, nadhani atakuelewa tu.
 
Back
Top Bottom