Nichukue gari gani?

Jane Lowassa

JF-Expert Member
May 10, 2016
4,899
8,896
Wakuu mambo vepee!

Kama ambavyo mnajua, nimekuwa nikiendesha hii gari kwa muda wa miaka 2 na nusu. Nadhani huu ni muda muafaka wa kutoka kwenye Altezza.

Mnanishauri nichukue gari gani?

NB: Siuzi gari.

Natanguliza shukrani.
 
Km ni yule bint wa Lowassa acheni achukue L/Cruiser kilimo kwanza au hata hizi za EPA Monduli Dar via Babati/Dom masaa 6
 
Back
Top Bottom