Nichomoe nisichomoe?!!!

Kifaa cha kuogopwa sana hicho sasahivi
 
Ngoja kwanza tuchote, yote kwa yote nawapa pole wale wote waliofikwa na matatizo yaho makubwa
 
chomoa tu me nimeshaandaa tecno yangu hapa kuchukua video
 
Haaaaa, mi nikajua nini....kumbe betry daaah. Mbona munatupa pressure.
 
Chomoa tu..nimeshatubu
 
Teja ushaanza yako, watu ndiyo tunaanza hapa
 
Unaweza kuchomoa na lisiwe tatizo, ila hii ni kwa wenye utaalamu wa vitu vya umeme .
 
Reactions: R.K
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…