Nichomoe betry ?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanyakyusaa hawaa...
 
Tupige kura za yes/no ili jamaaa ajue afanye nini?? Mimi naanza na capital YES.
Hapo nashauri mwoneshe tu jamaa video ila usimpe asije akaivujisha wala usipange fumanizi anaweza kufa mtu ikawa kesi, hiyo picha jamaa ataamua mwenyewe nini cha kufanya.
 
Mkuu chomoa tu betry fikilia ungekuwa wew unafanyiwe hv ungejisikiaje ...Usisahau kuleta mregesho
 
Natuma clip
 
Tupige kura za yes/no ili jamaaa ajue afanye nini?? Mimi naanza na capital YES.
Hapo nashauri mwoneshe tu jamaa video ila usimpe asije akaivujisha wala usipange fumanizi anaweza kufa mtu ikawa kesi, hiyo picha jamaa ataamua mwenyewe nini cha kufanya.

mkuu amesema YES wengine??
 
Mabaharia hatuna michezo hiyoo..

Baharia anaomba mzigo akibaniwa ndio anachomoa betry..

Wewe nakupa ukatibu kabisa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ningekuwa na nia ya kumla kitambo sana, huwa sipend mazoea na majiran si unajua kuharib hawakosei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…