Nichomoe betry ?

Baharia group lako la whatsapp lenye hicho kideo/kichupa tunajiunga kwa sh ngapi mabaharia wenzako?
 
Chomoa betri acha wenge tambua nawe utakuja kusaidiwa hivyo hivyo na mabaharia wengine.
 
Kilichowaunganisha na kufikia kutaka kufanya project pamoja ni hiyo kazi ya kumlindia mchumba wake sasa kama utachomoa betri mapema watakapogombana nina hakika na hiyo project itakufa sababu hautakuwa na faida kwake labda itokee awe na moyo wa kiume sana.
 

Well said, sichomoi ila ntamchana dem aache ufalaaa
 
Hayo mahusiano ya kukutana kwa mwezi Mara moja au mbili ndo use*nge ambao huwa siutaki halafu eti unahudumia kabisa isee nashukuru sina huo moyo....mapenzi ya mbali ni kudanganyana tu halafu hata huyo mshikaji atakuwa na yeheye anapiga za nje huko halafu unadate na mwanafunz wa chuo huku ukijiaminisha kuwa utamuoa iseee wanaume tunakwama wapi lakini???
Mm nakumbuka niliaachana na MTU kwa sababu ya umbali so we chakufanya kula mzigo huo na wewe usiishie kula kwa macho tu!! Akigoma unamwambia utachomoa betri mwenyewe atanywea na mzigo utakula kiulaini na atakuheshimu balaa!!!

Ukimwambia msela hayo matukio utaonekana mbeya na mnafiki na wanaume rijali hatunaga hayo mambo we waache watakuja kufumaniana siku moja bado siku arobaini za mwizi hazijatimia...Ila angalia usije ukafumaniwa ww badala ya mwenzako[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Bora nijulikane nipo single lakini sio kujiaminisha kuwa nina mpenzi ambaye naweza nikakaa hata mwezi nisimuone hayo mambo tuwaachie wanandoa maana wale wameshafunga pingu za maisha hata MTU akichepuka still utakuwa tu kwenye ndoa!!
 
Sinaga huruma na mtu Malaya, wengine tunatafuta kupendwa yeye anachezea bahati? Mtu anamlipia hadi kodi analeta mwanaume ndani?

Leo leo mpigie jamaa mwambie kila kitu, na mungu atakubariki, na video tuma kwan sh ngapi??
Unahatar ww
 
Mkuu hivi huyo demu alikuwa anatoa miguno ya kimahaba au ndo alikuwa kimya kama sanamu?? Maana mademu wengine ukiwagegeda wanakuangalia tu mpaka unaishiwa mapozi!! Yaani hata kibao cha kwanza kinapata uvivu kutoka inabidi ujilazimishe kwa nguvu[emoji3][emoji3]
 
Mkuu chomoaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…