Uchaguzi 2020 Nicholaus Ngassa, mtia nia Jimbo la Igunga

Mpekuzi Tanzania

Senior Member
Mar 11, 2018
191
500
2455454_CCM_2020.jpg

JINA KAMILI NICHOLAUS GEORGE NGASSA

UMRI MIAKA 35

MAHALA PA KUZALIWA HOSPITALI YA WILAYA YA IGUNGA - TABORA

UTAIFA MTANZANIA

JINSIA KIUME

ELIMU

2017 – 2019 Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Umma

(Masters’ of Public Administration) Chuo Kikuu cha Mzumbe

2007 – 2010 Shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala

(B.A in Political Science and Public Administration (Hons)

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

2005 – 2007 Cheti cha Elimu ya Sekondari ya Juu. (ACSEE)

Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Mwenge – Singida

2001 – 2004 Cheti cha Elimu ya Sekondari. (CSEE)

Seminari ya Mtakatifu Fransis wa Sales (Morogoro), Mtakatifu

Thomas wa Akwino (Usongo – Igunga), John Paul wa Pili (Kahama)

2000 Malezi ya Kiroho na Maadili (St Francis de Sales Aspirants House)

Lububu – Nzega, Mkoa wa Tabora.

1993 – 1999 Cheti cha Elimu ya Msingi. (CPEE)

Shule ya Msingi Igunga (Igunga Primary School)

MAFUNZO MAALUM

2018 Mafunzo ya Udhibiti na Usimamizi wa Vihatarishi Sekta ya Umma
(Fraud Control and Risk Management in Public Sector)
Institute of Finance Management (IFM)

2014 Mafunzo ya Utengenezaji wa Sera za Usimamizi wa Vihatarishi
(Developing Risk Management Framework and Policy)
Mzumbe University (MU)

2011 Mafunzo ya Maadili na Kanuni za Uongozi wa Umma
(Ethics and Codes of Conduct in Civil Service)
Tanzania Public Service College (TPSC – Magogoni)

KAZI/UTUMISHI WA UMMA
2011 – 2020 (Up to Date) WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

SIASA/UANACHAMA
Chama cha Mapinduzi
Kadi Na. Ab. 1702455
Kadi ya Kielektroniki: Namba ya Uanachama. C0000-3992-803-1

2011 – 2012 Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Igunga

2011 Mgombea wa kura za maoni za Ubunge kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Igunga baada ya kujiuzulu Mhe. Rostam Azziz.

2012 – 2017 Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (W) Igunga.

2012 – 2017 Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa

2015 Mgombea wa kura za maoni za Ubunge wa Jimbo la Igunga kwenye Uchaguzi Mkuu.

2017 Mgombea wa kura za maoni za Ubunge wa Afrika Mashariki (EALA).
 
The Hyper

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,364
2,000
Kila la heri bwana Ngassa.
Nimeona pia bwana Mashauri akichukua fomu.
Wote nawakubali.
Mng'oeni Dalali Kafumu,
hafai kabisa.
 
Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
11,169
2,000
Mng'oeni Dalali Kafumu,
hafai kabisa.
Kafumu alikuwa mwenyekiti wa kamati ya bunge ya huduma za jamii na makamu wake alikuwa Vicky Kamata. Walilazimika kujiuzuru ndani ya masaa 24 (sababu kapuni). Damu ya awamu hii haimpendi Kafumu, atakatwa tu.
 
G'taxi

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
4,989
2,000
Yani na shule lakini utashangaa anakuja Shishifood na kingereza chake anapenya,dunia hii bana
 
Sasliver

Member
Jul 14, 2020
13
45
View attachment 1506147

JINA KAMILI NICHOLAUS GEORGE NGASSA

UMRI MIAKA 35

MAHALA PA KUZALIWA HOSPITALI YA WILAYA YA IGUNGA - TABORA

UTAIFA MTANZANIA

JINSIA KIUME

ELIMU

2017 – 2019 Shahada ya Uzamili ya Utawala wa Umma

(Masters’ of Public Administration) Chuo Kikuu cha Mzumbe

2007 – 2010 Shahada ya Sayansi ya Siasa na Utawala

(B.A in Political Science and Public Administration (Hons)

Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM)

2005 – 2007 Cheti cha Elimu ya Sekondari ya Juu. (ACSEE)

Shule ya Sekondari ya Wavulana ya Mwenge – Singida

2001 – 2004 Cheti cha Elimu ya Sekondari. (CSEE)

Seminari ya Mtakatifu Fransis wa Sales (Morogoro), Mtakatifu

Thomas wa Akwino (Usongo – Igunga), John Paul wa Pili (Kahama)

2000 Malezi ya Kiroho na Maadili (St Francis de Sales Aspirants House)

Lububu – Nzega, Mkoa wa Tabora.

1993 – 1999 Cheti cha Elimu ya Msingi. (CPEE)

Shule ya Msingi Igunga (Igunga Primary School)

MAFUNZO MAALUM

2018 Mafunzo ya Udhibiti na Usimamizi wa Vihatarishi Sekta ya Umma
(Fraud Control and Risk Management in Public Sector)
Institute of Finance Management (IFM)

2014 Mafunzo ya Utengenezaji wa Sera za Usimamizi wa Vihatarishi
(Developing Risk Management Framework and Policy)
Mzumbe University (MU)

2011 Mafunzo ya Maadili na Kanuni za Uongozi wa Umma
(Ethics and Codes of Conduct in Civil Service)
Tanzania Public Service College (TPSC – Magogoni)

KAZI/UTUMISHI WA UMMA
2011 – 2020 (Up to Date) WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

SIASA/UANACHAMA
Chama cha Mapinduzi
Kadi Na. Ab. 1702455
Kadi ya Kielektroniki: Namba ya Uanachama. C0000-3992-803-1

2011 – 2012 Mjumbe wa Baraza Kuu la Umoja wa Vijana (UVCCM) Wilaya ya Igunga

2011 Mgombea wa kura za maoni za Ubunge kwenye Uchaguzi Mdogo wa Jimbo la Igunga baada ya kujiuzulu Mhe. Rostam Azziz.

2012 – 2017 Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (W) Igunga.

2012 – 2017 Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Taifa

2015 Mgombea wa kura za maoni za Ubunge wa Jimbo la Igunga kwenye Uchaguzi Mkuu.

2017 Mgombea wa kura za maoni za Ubunge wa Afrika Mashariki (EALA).
Hizo sifa zote za nini , ungetuambia unajua kusoma na kuandika na utatuachaje
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom