Andindile
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 304
- 16
Ndugu wana JF ni kwa muda mrefu sana utamaduni wa kuchangishana pesa kwa ajili ya harusi umezidi kupamba moto. Imefika mahali pesa inayochangishwa inazidi millioni hata kumi. Lakini hiyo hela yote hutumbuliwa ndani ya siku moja. Je kwa nini visianzishwe vikao vya kuchangisha pesa kwa ajili ya kumpeleka mtoto shule au chuo badala ya harusi?
Karibuni kwenye jamvi
Karibuni kwenye jamvi