Patience123 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2013 Posts 5,092 Reaction score 8,786 Mar 28, 2017 #81 Shunie said: huyo chifu injinia nahisi nimemblock anapenda kutukana aisee Click to expand... Na u much know mwingi
Shunie said: huyo chifu injinia nahisi nimemblock anapenda kutukana aisee Click to expand... Na u much know mwingi
Sakayo JF-Expert Member Joined Sep 10, 2015 Posts 56,368 Reaction score 161,463 Mar 28, 2017 #82 Shunie said: Dada la moyoni kabisa Click to expand... Hongera kwa kulitoa
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #83 Mondray said: joanah naww ueleweke sasa kama hunitaki niambie tu sio kunisugulisha benchi toka January. Na usiwe unanikubalia ili kuniridhisha tu am for realy Click to expand... Ujue kukaa bench ni dalili za kiwango kushuka ujue kuna mwenzio kachukua namba
Mondray said: joanah naww ueleweke sasa kama hunitaki niambie tu sio kunisugulisha benchi toka January. Na usiwe unanikubalia ili kuniridhisha tu am for realy Click to expand... Ujue kukaa bench ni dalili za kiwango kushuka ujue kuna mwenzio kachukua namba
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,870 Mar 28, 2017 #84 Patience123 said: Na u much know mwingi Click to expand... mpk kero sijui hawajioni au inakua vipi
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 Mar 28, 2017 #85 Mondray said: Mndali ndanyelakakomu waombe mods wakubadilishie jina bwana lijina libaya kama nini kwanza utadhan dawa ya kuinika watoto Click to expand... ana mjina mbaya mpaka nafeel kutapika namchana
Mondray said: Mndali ndanyelakakomu waombe mods wakubadilishie jina bwana lijina libaya kama nini kwanza utadhan dawa ya kuinika watoto Click to expand... ana mjina mbaya mpaka nafeel kutapika namchana
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #86 Mondray said: Ulitaka nimchane uongo akaa Click to expand... Ilitakiwa upunguze ukali wa maneno
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,555 Mar 28, 2017 #87 Nawachana warembo wa humu wote. Acheni kulinga bwana na mnatubagua sisi wageni humu jf kazi kupenda vizee halafu sisi tunabaki watupu acheni zenu
Nawachana warembo wa humu wote. Acheni kulinga bwana na mnatubagua sisi wageni humu jf kazi kupenda vizee halafu sisi tunabaki watupu acheni zenu
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #88 Mondray said: Mndali ndanyelakakomu waombe mods wakubadilishie jina bwana lijina libaya kama nini kwanza utadhan dawa ya kuinika watoto Click to expand... Jina sibadilishi hata iweje
Mondray said: Mndali ndanyelakakomu waombe mods wakubadilishie jina bwana lijina libaya kama nini kwanza utadhan dawa ya kuinika watoto Click to expand... Jina sibadilishi hata iweje
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,555 Mar 28, 2017 #89 Snipes said: ana mjina mbaya mpaka nafeel kutapika namchana Click to expand... Nishamwambia sana huyu ila hasikii akiongozwa na mwenzake @BHALIBHALAGAMBO
Snipes said: ana mjina mbaya mpaka nafeel kutapika namchana Click to expand... Nishamwambia sana huyu ila hasikii akiongozwa na mwenzake @BHALIBHALAGAMBO
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #90 Snipes said: ana mjina mbaya mpaka nafeel kutapika namchana Click to expand... Hili jina kama hujashiba huwezi kutamka
Snipes said: ana mjina mbaya mpaka nafeel kutapika namchana Click to expand... Hili jina kama hujashiba huwezi kutamka
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #91 Mondray said: Nawachana warembo wa humu wote. Acheni kulinga bwana na mnatubagua sisi wageni humu jf kazi kupenda vizee halafu sisi tunabaki watupu acheni zenu Click to expand... Warembo wanapenda vizee vinajua kuligaramia vijana mnakimbia bili
Mondray said: Nawachana warembo wa humu wote. Acheni kulinga bwana na mnatubagua sisi wageni humu jf kazi kupenda vizee halafu sisi tunabaki watupu acheni zenu Click to expand... Warembo wanapenda vizee vinajua kuligaramia vijana mnakimbia bili
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,555 Mar 28, 2017 #92 Mndali ndanyelakakomu said: Jina sibadilishi hata iweje Click to expand... Ujue jina lako linaimbika kwa melody ya Jah praiz
Mndali ndanyelakakomu said: Jina sibadilishi hata iweje Click to expand... Ujue jina lako linaimbika kwa melody ya Jah praiz
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 Mar 28, 2017 #93 Mndali ndanyelakakomu said: Hili jina kama hujashiba huwezi kutamka Click to expand... mpaka napata kwikwi
Mndali ndanyelakakomu said: Hili jina kama hujashiba huwezi kutamka Click to expand... mpaka napata kwikwi
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,555 Mar 28, 2017 #94 Mndali ndanyelakakomu said: Warembo wanapenda vizee vinajua kuligaramia vijana mnakimbia bili Click to expand... Wanajuaje kua sina hela
Mndali ndanyelakakomu said: Warembo wanapenda vizee vinajua kuligaramia vijana mnakimbia bili Click to expand... Wanajuaje kua sina hela
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #95 Mondray said: Nishamwambia sana huyu ila hasikii akiongozwa na mwenzake @BHALIBHALAGAMBO Click to expand... Haya majina ni mhimu kuliko wewe
Mondray said: Nishamwambia sana huyu ila hasikii akiongozwa na mwenzake @BHALIBHALAGAMBO Click to expand... Haya majina ni mhimu kuliko wewe
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #96 Snipes said: mpaka napata kwikwi Click to expand... Nitakununulia maji unywe ili kwikwi iishe
Da'Vinci JF-Expert Member Joined Dec 1, 2016 Posts 36,007 Reaction score 108,555 Mar 28, 2017 #97 Mndali ndanyelakakomu said: Haya majina ni mhimu kuliko wewe Click to expand... Acha kujitetea kwenye hamna kwanza kavune maharage huko kyela
Mndali ndanyelakakomu said: Haya majina ni mhimu kuliko wewe Click to expand... Acha kujitetea kwenye hamna kwanza kavune maharage huko kyela
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #98 Mondray said: Wanajuaje kua sina hela Click to expand... Inaonekana tunatumia nguvu nyingi kuwafukuzia wakati wazee wanatumia mpesa Tigo pesa
Mondray said: Wanajuaje kua sina hela Click to expand... Inaonekana tunatumia nguvu nyingi kuwafukuzia wakati wazee wanatumia mpesa Tigo pesa
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #99 Mondray said: Acha kujitetea kwenye hamna kwanza kavune maharage huko kyela Click to expand... Mi siko kyela Niko ileje mkoa wa songwe
Mondray said: Acha kujitetea kwenye hamna kwanza kavune maharage huko kyela Click to expand... Mi siko kyela Niko ileje mkoa wa songwe
Snipes JF-Expert Member Joined Jul 2, 2013 Posts 9,223 Reaction score 16,900 Mar 28, 2017 #100 Mondray said: Nishamwambia sana huyu ila hasikii akiongozwa na mwenzake @BHALIBHALAGAMBO Click to expand... tunawachana
Mondray said: Nishamwambia sana huyu ila hasikii akiongozwa na mwenzake @BHALIBHALAGAMBO Click to expand... tunawachana