Hahaha...[emoji8] [emoji39] [emoji7] Unakumbuka daah husahau....OMG I don't know what to say super Dear
Thanks God for bringing this Wonderful lucky man into Mahondaw's life
Ndomana nakupenda mzungu wangu
Huna maneno mengi wewe ni Mtu wa kuact tu
Huna hasira wala shobo wewe ni mtaratiiiiiibuuuuu mstaarabu wewe mchezo ushausoma hata hupati tabu Wala ghadhabu
Unajua kabisa hapa mahondaw saiv yupo chitchat kwa keyboard tu
Nitafurahi sana.. and thank you for noticing that Kwamba what ever I'm doing or writing in JF I just write but nipo pembeni yako hapaa nkimaliza ku chit chat tu unanivutaaaaaa unanisogezaa chembaa We hug kiss have our moments and go to bed... Together...
Why chase your own chicken super Dear??
A very deep sweet and Long kiss for you my lovely super Dear
Mmmmmmmmmmmhhmmuuuuuaaaaaaaaahhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
Smart911
Matusi hayo blaza kwahyo jina la kiume ndo likoje,sio titi munda ni titimunda,ni sawa na kumwita mkulu pombe wakati yeye ni john pombe magufuli,watchi it dogo,ungeuliza kwanza maana yake.Tatizo jina lako limekaa kama demu ,mwanaume utajiitaje TITi Munda ?
Antonio de Guzman said:Mahondaw uyu anapenda sana kuleta viswaga vya kumix lugha yani haeleweki na alafu ana mapoz sana abadilike
Wewe jamaaa mkorofi aiseeeTatizo jina lako limekaa kama demu ,mwanaume utajiitaje TITi Munda ?
Hahaaaaaa wacha nicheke mie mmenifurahish kweliMatusi hayo blaza kwahyo jina la kiume ndo likoje,sio titi munda ni titimunda,ni sawa na kumwita mkulu pombe wakati yeye ni john pombe magufuli,watchi it dogo,ungeuliza kwanza maana yake.
Mange Kimambi ni mkali wa swaga na sio wajina... Nmekuchana na Mimi!!Mkuu sio sir jina ako bayaaa..afu we ni ke' huoni wenzio akina miss chagga ,Honey Faith na mange kimamb...wana majina mazuri?
Nimekuchana.
Teh sio kwa kubadilisha huko avatar
Ndo huku?Khaaaaaaa
Hahaha...[emoji8] [emoji39] [emoji7] Unakumbuka daah husahau....
I love you mahondaw
Can't keep my mind on nothin' else
I would trade the world
For a good thing i have found
You can do no wrong
I will turn my back on anyone
Who tries to put you down
I will spend my very last dime
Trying to hold on you @mahodaw
I will give up all my comforts
And sleep out with you
If you say that's the way
It ought to be
I will give you everything I got
Trying to hold on you mahondaw
To your precious love
Love the way you treat mahondaw
Loving eyes can never see
I know exactly how i feel about you
Hugs and deep kisses on those sweet pretty lips...
Hoja dhaifu hiyoMatusi hayo blaza kwahyo jina la kiume ndo likoje,sio titi munda ni titimunda,ni sawa na kumwita mkulu pombe wakati yeye ni john pombe magufuli,watchi it dogo,ungeuliza kwanza maana yake.
Haha...yaani B. Mimi niwakulingnisha na upepo upepo sijui ni oxygen sijui carbon sijui caborn monoxide.... aseeh mimi nimejitoa tuwe majirani tuAwali awali tu japo hueleweki.naangalia upepo unakovuma
Kwani haujawahi kupata mpenzi humu! Pole mkuuAlafu mtindo wa humu ndani watu kuitana wapenzi mi hata siulewi ni kwamba mnabanjuana kweli in real life au ndo kunogesha jamvi,?
Birthmate nakuona !FaizaFoxy kuwa na roho ya huruma binti wa kiislam na ukumbuke tulipotoka, lainika japo kidogo
Wahenga walisema unaposhikwa shikamana...why hushikamani babe?
Nakuchana....!
Yani ana utani wa ngumi Hahaa. Atuache na fiasi fyetuTeh teh..
Heaven Sent Douta..Huyu Mahondaw una utani nae???
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alafu mtindo wa humu ndani watu kuitana wapenzi mi hata siulewi ni kwamba mnabanjuana kweli in real life au ndo kunogesha jamvi,?