Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Mar 28, 2017 #21 CHARMILTON said: Rebecca 83 una avatar mbaya sana. Click to expand... Khaaaaaaa
Pep JF-Expert Member Joined Jul 29, 2015 Posts 2,338 Reaction score 5,490 Mar 28, 2017 #22 Nawachana juma pumba na daudi kama wapo humu
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Mar 28, 2017 #23 mm nawachana hawa watu wawili Saint Ivuga na HR 666 hawana tofauti wanaropokwa tu linalowajia mdomoni ni hilohilo hawajui muhusika atapokea vipi
mm nawachana hawa watu wawili Saint Ivuga na HR 666 hawana tofauti wanaropokwa tu linalowajia mdomoni ni hilohilo hawajui muhusika atapokea vipi
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,977 Reaction score 177,200 Mar 28, 2017 Thread starter #24 Blank page said: Hahah,si wew mwenyew uyo una jina baya.ati mahondaw ndo jina gani ilo mam? Click to expand... Lol nitabadilisha basi Hebu nichagulie basic jina gani lingine zuri la kike
Blank page said: Hahah,si wew mwenyew uyo una jina baya.ati mahondaw ndo jina gani ilo mam? Click to expand... Lol nitabadilisha basi Hebu nichagulie basic jina gani lingine zuri la kike
ShyaRuwa JF-Expert Member Joined May 30, 2015 Posts 8,241 Reaction score 14,747 Mar 28, 2017 #25 Shunie said: Khaaaaaaa Click to expand... Hili swala nimeona nimwambie maana avatar yake inanikera sana. Avatar ina katisha stimu.
Shunie said: Khaaaaaaa Click to expand... Hili swala nimeona nimwambie maana avatar yake inanikera sana. Avatar ina katisha stimu.
Mahondaw JF-Expert Member Joined Apr 9, 2013 Posts 71,977 Reaction score 177,200 Mar 28, 2017 Thread starter #26 Shunie said: mm nawachana hawa watu wawili Saint Ivuga na HR 666 hawana tofauti wanaropokwa tu linalowajia mdomoni ni hilohilo hawajui muhusika atapokea vipi Click to expand... Saint Ivuga upooo?? mtu wa pili huyu anakuchana.. Usikasirike lakini
Shunie said: mm nawachana hawa watu wawili Saint Ivuga na HR 666 hawana tofauti wanaropokwa tu linalowajia mdomoni ni hilohilo hawajui muhusika atapokea vipi Click to expand... Saint Ivuga upooo?? mtu wa pili huyu anakuchana.. Usikasirike lakini
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,805 Reaction score 49,104 Mar 28, 2017 #27 CHARMILTON said: Na wewe unayeweka maua kwani hapa ni msibani? Click to expand... navuta nyuki
N NAKWEDE JF-Expert Member Joined Aug 1, 2007 Posts 27,972 Reaction score 35,192 Mar 28, 2017 #28 Compact said: Mkuu nakuchana..... Una jina baya kuliko watu wote humu Jukwaani. Wewe na Nantombe Mushi. Hahaha Click to expand... Jina la kibantu halina hata chembe ya uzungu hahahahahaah
Compact said: Mkuu nakuchana..... Una jina baya kuliko watu wote humu Jukwaani. Wewe na Nantombe Mushi. Hahaha Click to expand... Jina la kibantu halina hata chembe ya uzungu hahahahahaah
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #29 Endelea kuchana mi natafuta fundi wa kushona
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Mar 28, 2017 #30 CHARMILTON said: Hili swala nimeona nimwambie maana avatar yake inanikera sana. Avatar ina katisha stimu. Click to expand... hahahhhhh nimecheka kwa sauti inakatisha stimu gani
CHARMILTON said: Hili swala nimeona nimwambie maana avatar yake inanikera sana. Avatar ina katisha stimu. Click to expand... hahahhhhh nimecheka kwa sauti inakatisha stimu gani
Blank page JF-Expert Member Joined May 28, 2015 Posts 6,084 Reaction score 6,087 Mar 28, 2017 #31 mahondaw said: Lol nitabadilisha basi Hebu nichagulie basic jina gani lingine zuri la kike Click to expand... Hahah...aya nakchagulia jina,jiite martinez de cuprebe.ila jina sio la nchi...
mahondaw said: Lol nitabadilisha basi Hebu nichagulie basic jina gani lingine zuri la kike Click to expand... Hahah...aya nakchagulia jina,jiite martinez de cuprebe.ila jina sio la nchi...
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Mar 28, 2017 #32 mahondaw said: Saint Ivuga upooo?? mtu wa pili huyu anakuchana.. Usikasirike lakini Click to expand... kukasirika hawezi lkn lazima aambiwe
mahondaw said: Saint Ivuga upooo?? mtu wa pili huyu anakuchana.. Usikasirike lakini Click to expand... kukasirika hawezi lkn lazima aambiwe
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Mar 28, 2017 #33 Shunie said: hahahhhhh nimecheka kwa sauti inakatisha stimu gani Click to expand... Mama wa Fursa nakuchana, Acha kubana bana kuja PM na wewe, nilikuwa mmoja wa waliokukaribisha kwa nguvu zote ulipotoka Chugga lakini umenizibia mlango. Jirekebishe. Hahahaha.
Shunie said: hahahhhhh nimecheka kwa sauti inakatisha stimu gani Click to expand... Mama wa Fursa nakuchana, Acha kubana bana kuja PM na wewe, nilikuwa mmoja wa waliokukaribisha kwa nguvu zote ulipotoka Chugga lakini umenizibia mlango. Jirekebishe. Hahahaha.
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Mar 28, 2017 #34 Compact said: Mama wa Fursa nakuchana, Acha kubana bana kuja PM na wewe, nilikuwa mmoja wa waliokukaribisha kwa nguvu zote ulipotoka Chugga lakini umenizibia mlango. Jirekebishe. Hahahaha. Click to expand... hahahahh kweli umenichana mzee wa fursa nitakuja kukutembelea pm kwako halaf mm sijatoka chuga ujue
Compact said: Mama wa Fursa nakuchana, Acha kubana bana kuja PM na wewe, nilikuwa mmoja wa waliokukaribisha kwa nguvu zote ulipotoka Chugga lakini umenizibia mlango. Jirekebishe. Hahahaha. Click to expand... hahahahh kweli umenichana mzee wa fursa nitakuja kukutembelea pm kwako halaf mm sijatoka chuga ujue
Perpendicular JF-Expert Member Joined Jul 5, 2015 Posts 1,494 Reaction score 1,185 Mar 28, 2017 #35 Ngoja nikuchane
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Mar 28, 2017 #36 Shunie said: hahahahh kweli umenichana mzee wa fursa nitakuja kukutembelea pm kwako halaf mm sijatoka chuga ujue Click to expand... Itakuwa vema. Hukumbuki ulipotaka kujinanilii kwa kula ovyo? Hahaha
Shunie said: hahahahh kweli umenichana mzee wa fursa nitakuja kukutembelea pm kwako halaf mm sijatoka chuga ujue Click to expand... Itakuwa vema. Hukumbuki ulipotaka kujinanilii kwa kula ovyo? Hahaha
Shunie JF-Expert Member Joined Aug 14, 2016 Posts 157,054 Reaction score 463,971 Mar 28, 2017 #37 Compact said: Itakuwa vema. Hukumbuki ulipotaka kujinanilii kwa kula ovyo? Hahaha Click to expand... hahahahahh mzee wa fursa nini lkn nitaghaili kuja kukutembelea pm
Compact said: Itakuwa vema. Hukumbuki ulipotaka kujinanilii kwa kula ovyo? Hahaha Click to expand... hahahahahh mzee wa fursa nini lkn nitaghaili kuja kukutembelea pm
Page 94 JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 5,202 Reaction score 15,231 Mar 28, 2017 #38 Shunie said: hahahahahh mzee wa fursa nini lkn nitaghaili kuja kukutembelea pm Click to expand... Basi nimeacha, njoo basi.
Shunie said: hahahahahh mzee wa fursa nini lkn nitaghaili kuja kukutembelea pm Click to expand... Basi nimeacha, njoo basi.
nellwan JF-Expert Member Joined Mar 17, 2016 Posts 378 Reaction score 682 Mar 28, 2017 #39 Mndali ndanyelakakomu said: Endelea kuchana mi natafuta fundi wa kushona Click to expand... Jina Kama Mzizi wa dawa za kienyeji
Mndali ndanyelakakomu said: Endelea kuchana mi natafuta fundi wa kushona Click to expand... Jina Kama Mzizi wa dawa za kienyeji
Mndali ndanyelakakomu JF-Expert Member Joined Dec 14, 2016 Posts 14,001 Reaction score 31,770 Mar 28, 2017 #40 nellwan said: Jina Kama Mzizi wa dawa za kienyeji Click to expand... Hata hivi umepatia ndo nanjimba mzizi wa sasa ya tumbo na kichocho
nellwan said: Jina Kama Mzizi wa dawa za kienyeji Click to expand... Hata hivi umepatia ndo nanjimba mzizi wa sasa ya tumbo na kichocho