Kweli mkuu umeamua kutuchana!
BAN hutembea kwa wale wakorofi wanaovunja sheria za jamvini kwa makusudi licha ya wengi wao kuonywa mara kadhaa... Hata hivyo kuna kukata rufaa unapoona adhabu uliyopewa haistahili (support@jamiiforums.com).
Ila na mie ngoja niwachane kidogo baadhi ya members wanaoharibu mijadala kwa lugha zisizofaa na kuanzisha mada ndani ya mada; Mnakera sana, acheni huo mchezo!