geek01
Senior Member
- Jul 11, 2017
- 143
- 267
Wadau nina blog yangu ipo katika hatua za mwisho kukamilika lakini tayari ipo hewani, blog hii inadeal na nafasi za kazi na nafasi za ufadhili wa masomo(scholarships) mainly Tanzania, kwa ujumla ni fursa. Nahitaji jina kutokana na nature ya blog. Lengo baada ni kununua domain na kuwa website kamili na kisha kampuni kabisa. Award itatolewa kwa jina litakalochaguliwa