Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
salaaaam
ninataka kununua godoro kwa ajili ya kitanda cha sita kwa sita. tafadhali naomba ushauri wenu ni godoro la kampuni gani ni bora?
kwa sasa natumia Tanfoam ila naona kama silielewi elewi hivi kwa maana kwamba ukikalia linakuwa kama chapati then linarud kwenye hali yake baada ya muda sana. unless nilishikishwa nikapewa famba kipindi hicho