Mwalimu heri ya mwaka mpyaKwani yule dada yake NaNii basi tena!!
Banker1 ndie anaekufaa.
Mnaendesha maisha kama power couple fulani hivi, of course lzm na wewe una mapesa yako ya kumwaga vile vile
Mwalimu heri ya mwaka mpya
she's always serious....mie naamini kuwa mtu hawezi kuwa serious muda woote.....ana principal nyingi nae....uyu wa aljezeera ndo mzuuri
atakuwa ana kubrash kingereza kdg au km uelewi asi unamuuliza tu
kwaiyo mwana she iz full with daily news,sunday observer ,aljazira...dah pole
siyo issue ye akiwa anafungua the gadian yake pale we fungua gazet lako la utamu au uwaz basi mpango mzimaaa...........
ndio huyu banker1.....msukuma.....ana masharti nae ukiwa bar anakupangia kiwango cha beer.....Kwani yule dada yake NaNii basi tena!!
Banker1 ndie anaekufaa.
Mnaendesha maisha kama power couple fulani hivi, of course lzm na wewe una mapesa yako ya kumwaga vile vile
Heri ya mwaka mpya.
Nimefurahi kuona umesalimika na uovu wa polisi huko.
Msaidie mwenzio kuchagua banker
Rose............... duhuyu wa aljezeera ndo mzuuri
atakuwa ana kubrash kingereza kdg au km uelewi asi unamuuliza tu
kwaiyo mwana she iz full with daily news,sunday observer ,aljazira...dah pole
siyo issue ye akiwa anafungua the gadian yake pale we fungua gazet lako la utamu au uwaz basi mpango mzimaaa...........
Mwalimu habari ya mwaka mpya.
We ni banker?
Duh! Yote kwa afya yako tu lakini. Hataki utoke kitambindio huyu banker1.....msukuma.....ana masharti nae ukiwa bar anakupangia kiwango cha beer.....
Heri ya mwaka mpya. Umzima sana?
Mie mwalimu wa chekechea tayari tushapaishwa kwenye thread huko (lol) hapa nampigia kampeni mbeijing na maprinciples yake
Hebu cheki na Invii arudishe kale kakitu ketu, unajua nnavokumisi mwalimu wangu?
Inaonekana wewe suala zima la kupambana na magonjwa ya kuambukiza halipo kabisa katika mtimaFor the takribani muongo sasa natafuta shori…..lakini most nimekutana na mashori ambao at the end naona miyeyusho… baada ya kuwa shortlist nikapata hawa….
Denti IFM….mkaliii saana mweupe(rangi zangu) mzuri kweri kweri,sauti saafi,ana huruma ila tatizo lake kila weekend anataka tutoke club na mazaga zaga kama hayo….she like more sex…anakunywa wine tu...story zake ni za shule tu ambazo zikizidi huwa zinaniboa
Banker1….huyu ana busara,kasoma vema,ana mijipesa tatizo lake yu busy sana na ana principal nyiingi kwa kila jambo,hapendi kona kona ….hata sex lazima niandike proposal 3days b4….anasoma magazeti magumu gumu,tv chanel zake ni cnn,eljazeera hapendi uswahili uswahili najua yupo JF….ana wivu wa kichini chini
Shori wa kitaa….huyu hana mpya,hana kazi,hajasoma vema,magazeti anayosoma ya shigongo,kipindi chake leo tena cloudsfm na mirindimo ya pwani timesfm….she is typical mswazi….uzuri wake mkaliiii na ni fundi kitandani…anakunywa beer za kila aina,wine na nk…hana wivu
Banker2…huyu yeye ni expensive sana,ni mtu wa kutoka na viwanja vyake expensive ukitoka lazima uwe na si chini ya kilo….story zake movie,arsenal na man u….uzuri wake analipuka pamba si kitoto….pesa anayo ila nae miezi kama hii keshaishiwa…anakunywa wine tu….ana wivu balaa…
Secretary….nilimpata kwenye internet cafee Fulani mitaa ya ukwelini….yupo kampuni moja kama secretary….muda mwingi yuko facebook,plan zake ni kwenda ulaya ana dream kubwa kubwa lakini hatii juhudi kuzifanikisha..ni motto wa kigogo
K
wa kifupi woote hawa ni wakali weupee….wana push mandinga isipokuwa shori wa kitaa….nichague yupi kati ya hawa….