Nichague Perfume ipi kati ya hizi?

Dubai Duty free nimepulizia adi kwenye nguo zangu kwenye bag nimewambia nina fika kwanza macedonia nilirudi ndio nitanunuwa!
DUBAI duty free wana manukato ya kila aina.

Mpaka vile vichupa vidogo wanavyo.

Unanikumbusha kuna safari moja nilikaa sana karibia masaa sita pale.

Mpaka nikaamua kufanya mazoezi ya kutembea natoka Terminal 3 mpaka 1 kule kwenye MSIKITI, kisha narudi tena hivyo hivyo
 


Ipate hii kwa

Tshs 260,000 tu.

Popote ulipo unaipata,
Hata mkoani.

Njoo inbox.
 
Creed is superb👌
 
Hahhaaa naona wameweka kodi ya jengo a.c,umeme na maji hapo na mshara wa mfanyakazi upo hapohapo
jamani hayo mapafyumu ni bei nimeenda kucheki bei ya tom ford pale S.H AMON MCITY tsh 500,000/= nkalala mbele
 
Mkuu unaenda mbali kujichosha na mabei makubwa.
Tafuta al rihat perfumes bei za kawaida kwanzia 7k mpk 30k to 50k.
Unapulizia perfume inakaa ktk nguo hata ufue haitoki.
Yani ni "houd perfumes".
Ukipulizia hapa mkuranga wanaisikia ni hatari.
Yani ukipulizia watu waweza sema jini mahaba limepita .
Kuna kampuni zingine nyingi za perfume za kiarabu ila mkuu Alrihat wanaendana na hali ya watu wote chini na juu.
Kaka hizi perfume dem akihisi harufu yake anatamani akulambe aiseee.
Na kuna huod soaps hizo unapaka km sabuni na zina muundo km sabun yan ukimaliza kuoga unapakaa ktk ngozi na nguo.
Bro watu watatamani kukukula unakua unanukia utam utam.
Halafu uzuri wa perfume hizi za kiarabu ni non alcoholic halafu zimetengenezwa sana na vitu natural yani ni chemicalless .
Hiyo inakata kikwapa milele.
 

Attachments

  • perfumes-in-the-uae.jpeg
    14.5 KB · Views: 46
  • images.jpeg
    2.7 KB · Views: 45
  • raw-spirit-perfume-house-and-leisure.jpeg
    58.7 KB · Views: 47
  • sabaya-600x800-0.jpeg
    30.3 KB · Views: 45
  • Al-Rehab-Aseel-For-Women-35ml-Eau-de-Parfum_32994670_2511df156f05bda2313eff4a188d3166_t.jpeg
    6.4 KB · Views: 42
  • 20181119_123052_540x.jpeg
    17.5 KB · Views: 49
Jaribu hizi mkuu kuanzia 7000/= mpk 50000/= ikizidi sana 70000/=View attachment 1212780
 

Attachments

  • perfume-bottles-on-pink-background-260nw-666006625.jpeg
    6.1 KB · Views: 42
jamani hayo mapafyumu ni bei nimeenda kucheki bei ya tom ford pale S.H AMON MCITY tsh 500,000/= nkalala mbele
SH Amon walanguzi sana sana.hata kwa vitu vidogo..ni wa kwenda jela,
Jaribu kwa norahprocter..mi huwa nachukua pale ,vitu high quality from UK na bei reasonable

ama Buy abroad/tuma Mtu etc
 
Tengeneza natural deodorant yako. Chukua lavender-essential oil unachanganya na virgin coconut oil kama carrier oil.
Kisha paka kwenye kwapa na mwili na kichwani. Achana na hizo kemikali mkuu
Nimetafuta baadhi ya Essentials oil nimekosa naomba msaada kwa Dar naweza kupata wapi?
 

mi nauza mini crystal zake kwa bei ya maandazi tu na unanukia fresh


Sent using Jamii Forums mobile app
 
SH Amon walanguzi sana sana.hata kwa vitu vidogo..ni wa kwenda jela,
Jaribu kwa norahprocter..mi huwa nachukua pale ,vitu high quality from UK na bei reasonable

ama Buy abroad/tuma Mtu etc
Wana page insta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…