Nichague kufanya kazi wapi?

Nenda hiyo ya pili, halafu niunganishe mimi na hiyo ya 1.4 Mil nipate kusogeza siku mkuu huku mtaani hali ni tete sana.
 
Hongera una bahati ,kwa Mimi Mwaka ungenitosha ningekuwa nimepata mtaji..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…