Daaa yaan balaa ngoja niendelee kuuza viroba vilivyobaki labda kuna Siku ntaona kawaida (bhamdala....bhakamba ameshasema hapo juu kwa ufasahaa
Nenda kwa NGO ya pili hapo mbeleni kuna fursa kama vile. promotion,etc, lakini pia unatunisha mfuko wako wa hifadhi ya jamii, nahis pia watakua na programme ya healthcare, binafsi naona fursa nzuri zaidi kwa hiyo NGO ya pili.
Nawasilisha.
Hii dunia haiko balance imekata chesisi haiwezekani watu wanalia wapewe hata mshahara wa laki halafu kuna MTU anatafuta ushauli aziache million zipi not fair mleta mada hiyo ni kufuru
Watu wengine unakuta. Majigambo tu hamna lokote eti nalipwa 1.4 na huku lak nane mmh acha kuwarusha wenzio ambap wanatafuta ata kibarua cha lak 3 hawajapata kana vipi una ndugu zako kibao ebu kaa nao chini mshauriane kabla ujawarusha roho wenzip
Nenda kwa NGO ya pili hapo mbeleni kuna fursa kama vile. promotion,etc, lakini pia unatunisha mfuko wako wa hifadhi ya jamii, nahis pia watakua na programme ya healthcare, binafsi naona fursa nzuri zaidi kwa hiyo NGO ya pili.
Nawasilisha.
Mifuko yenyewe huchukui hela mpaka ufike miaka 60!!!
Part time - 1,400,000
Full time - 860,000 (ukiweka makato itakuwa chini ya hapa)
Unataka siku unazo umwa ulipwe kivipi? Baki hapohapo ulipo Huku ukiendelea kutafuta mchongo mzuri zaidi, huo uliopata sioni Kama unazidi wa sasa kiivyo
Zingine ndoto tu acha kutishika na simba wa kuchora mkuu. We uliziona hizo milioni?Nenda kwa NGO ya pili hapo mbeleni kuna fursa kama vile. promotion,etc, lakini pia unatunisha mfuko wako wa hifadhi ya jamii, nahis pia watakua na programme ya healthcare, binafsi naona fursa nzuri zaidi kwa hiyo NGO ya pili.
Nawasilisha.