Unataka usome hizo kozi kwa ngazi ya Diploma au degree??
In short kama ni Degree soma course yoyote kati ya hizo na ujiandae kuwa Dalali, MC au motivational speaker pindi utakapomaliza Chuo.
Na kama ni Diploma kasome Procurement. Soko lake ni kubwa sana maana Kila sehemu kuna manunuzi na ugavi si Halmashauri, si mashirika binafsi, si mashirika ya Serikali n.k
Olu ze besiti oni yua niu ejukesheni jane!