Nichague CCM? Over my dead body!

'Over your dead body' ya Mbowe au ya Patience Ozokwor wa Nollywood?
 
Vijana tumeshafanya maamuzi,CCM out hakuna kucheka na rushwa na usanii wao
 
USIGENERALIZE WAKATI KILA KIJANA ANA MTIZAMO WAKE,MALENGO YAKE NA NDOTO ZAKE.HIVO SEMA WEWE LABDA NA KUNDI LAKO KWANI KUNA UVCCM NA VIJANA AMBAO HAWANA MPANGO NA SIASA ZA AINA YOYOTE."Not all people wearing white coat are doctors sometime they may be butchermen"
 
Bora umemwambia ukweli.
 
Mwalimu wangu mmoja chuoni, mtu kama wewe angekuambia don't be general, try to be specific. Maana nadhani vijana hao mliokubaliana, ni wanywa viroba tu. Kwa hiyo ungesema hivi VIJANA WANYWA VIROBA, NA WAVUTA BANGI TUMEKUBALIANA KUTOIPIGIA KURA CCM, hapo ungeeleweka vizuri.
 
Back
Top Bottom