Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ghost sijui kama Tanzania itakokea kama Egypt au Tunisia. Vyombo vya dola hasa jeshi la TZ wako kama mambwa ambao wamepewa kila kitu na kibosile wao kwahio wamesharidhika. Umeshawahi kusikia majeshi wakilalamika kuhusu mishahara?
Wanapewa almost kila kitu bure na wanafanyiwa hivyo makusudi ili wasije igeuka serikali.
Tembelea nyumba za maofisa ya majeshi pale Dar tu utajua ninachosema.
Wanaolalamika zaidi ni polisi kwani hawana nguvu yoyote kwenye nchi.
Egypt unrest: Army calls on protesters to go home
BBC News - Egypt unrest: Army calls on protesters to go home
Egypt's army has called for protesters to return home and allow life to return to normal after nine days of anti-government demonstrations.
The call came amid continued pressure on President Hosni Mubarak to quit after a speech in which he pledged not to stand for re-election in September.
Many protesters vowed not to leave Cairo's Tahrir Square, saying Mr Mubarak's promise was not enough.
But thousands have also taken to Cairo's streets to support him.
Up to 2,000 anti-Mubarak demonstrators saw out a cold night in Tahrir Square, the epicentre of the protests, saying the president's pledge was insufficient and chanting: "We will not leave!". They want to see him deposed and punished.
Wanaolalamika zaidi ni polisi kwani hawana nguvu yoyote kwenye nchi.