Nice, France: Atleast 80 Killed in Truck Attack on Bastille Day Crowd

Nyani Ngabu

Platinum Member
May 15, 2006
93,481
119,320
Haya...magaidi washafanya mambo yao tena huko Nice, Ufaransa!

(CNN) At least 73 people were killed Thursday night when a large truck plowed through a crowd celebrating Bastille Day in Nice, France, the Nice prosecutor's office said, according to French media.

The driver pointed his tractor-trailer into the crowd and accelerated, mowing bodies over. The driver was shot to death, authorities said. At least 100 people were injured, authorities said.



LATEST:
- At least 84 killed
- Over 100 injured
- City on lockdown
- Worst catastrophe #Nice ever faced

French media have identified the driver in the lorry attack on a Bastille Day crowd in Nice as a 31-year-old French-Tunisian man after some papers of his identity were found inside the truck.

The papers also indicate the man was a resident of Nice, AFP reported.

The man was shot by police after he deliberately drove at a packed street of spectators, killing at least 80 and wounding more than 100 people.

Local newspaper Nice-Matin reported the man had firearms and grenades in the lorry with him at the time of the attack.

Meanwhile, French President Francois Hollande said that the attack was clearly a terrorist assault and that the state of emergency was imposed since a previous attack on Paris last November would be extended for another three months.

US President Barack Obama too condemned the deadly attack in Nice and offered any assistance France needs to investigate the .

"On behalf of the American people, I condemn in the strongest terms what appears to be a horrific terrorist attack in Nice, France, which killed and wounded dozens of innocent civilians," Obama said in a statement.

Kwa habari zaidi...
 
Hawa magaidi sasa wanatisha sana maana wanaweza kuvizia mahali ambapo kuna mkusanyiko wa watu mkubwa na wakafanya mauaji kama haya. Kama umechoka kuishi si ujiue mwenyewe!? Kwanini uwaue watu wengine wasio na hatia yeyote ile!? Na leo France ilikuwa ni public holiday (Bastille Day)
 
Hawa magaidi sasa wanatisha sana maana wanaweza kuvizia mahali ambapo kuna mkusanyiko wa watu mkubwa na wakafanya mauaji kama haya. Kama umechoka kuishi si ujiue mwenyewe!? Kwanini uwaue watu wengine wasio na hatia yeyote ile!? Na leo France ilikuwa ni public holiday (Bastille Day)

Imagine magaidi wawili au watatu wanaingia Walmart au Target siku ya Jumamosi au Jumapili mchana huku wakiwa na AK-47!

Ni majanga matupu!

Soft targets ni nyingi mno.
 
Aisee inatisha sana au imagine umati watu kwenye sehemu mbali mbali wakati wa fireworks on 4th. Hawajathibitisha kama ni magaidi lakini huu ni ugaidi mtupu wa kukusudia kuua watu wengi sana kwenye mkusanyiko wa watu.

Imagine magaidi wawili au watatu wanaingia Walmart au Target siku ya Jumamosi au Jumapili mchana huku wakiwa na AK-47!

Ni majanga matupu!

Soft targets ni nyingi mno.
 
Aisee inatisha sana au imagine umati watu kwenye sehemu mbali mbali wakati wa fireworks on 4th. Hawajathibitisha kama ni magaidi lakini huu ni ugaidi mtupu wa kukusudia kuua watu wengi sana kwenye mkusanyiko wa watu.

Yeah ni kweli hawajathibitisha lakini hiyo haijakaa kama ajali aisee.

Kwanza tayari kuna taarifa kwamba polisi walirushiana risasi na occupants wa hilo lori.
 
Okay hiyo ya kurushiana risasi nilikuwa sijui, na nilidhani dreva alikuwa pekee yake. Sijaifutilia hii habari kwa karibu pamoja na kuwa CNN wanaionyesha kwa muda mrefu sasa.

Yeah ni kweli hawajathibitisha lakini hiyo haijakaa kama ajali aisee.

Kwanza tayari kuna taarifa kwamba polisi walirushiana risasi na occupants wa hilo lori.
 
July 14, 2016
Nice, France

Hatari sana, haijulikani wapi jamaa hawa watazuka na kusababisha majanga. Na leo ni sikukuu ya kitaifa nchini Ufaransa na janga hili limetokea katika mjini wa Nice wenye idadi ya watu laki tatu na nusu (350,000).

Kwa nchi ya Ufaransa sikukuu ya leo tarehe 14 Julai inayokwenda kitaifa kwa jina la Bastille Day (The French National Day) ya Julai 14 kila mwaka inayoambatana na maandamano pamoja na kupiga fataki nyingi angani usiku inahusu nini?

Sikukuu Bastille Day (La fête nationale / The National Celebration Day) inakumbushia mwanzo wa harakati za kupinga utawala wa kimla familia ya Kifalme ya Bourbon , ambapo mwaka 1789 wanaharakati na askari wa Mfalme walioasi walivamia Ngome/Gereza la Bastille na kuwa mwanzo uliopelekea machafuko nchini Ufaransa yaliyodumu kwa miaka 10 na hatimaye Mapinduzi ya kuungoa utawala wa Kifalme wa Louis XVI.

N.B
Bastille Day and French Revolution of 1789

French revolutionaries storm Bastille

Parisian revolutionaries and mutinous troops storm and dismantle the Bastille, a royal fortress that had come to symbolize the tyranny of the Bourbon monarchs. This dramatic action signaled the beginning of the French Revolution, a decade of political turmoil and terror in which King Louis XVI was overthrown and tens of thousands of people, including the king and his wife Marie Antoinette, were executed.

The Bastille was originally constructed in 1370 as a bastide, or “fortification,” to protect the walled city of Paris from English attack. It was later made into an independent stronghold, and its name–bastide–was corrupted to Bastille. The Bastille was first used as a state prison in the 17th century, and its cells were reserved for upper-class felons, political troublemakers, and spies. Most prisoners there were imprisoned without a trial under direct orders of the king. Standing 100 feet tall and surrounded by a moat more than 80 feet wide, the Bastille was an imposing structure in the Parisian landscape.

Liberté, Egalité, Fraternité. Vive la France, vive les Etats-Unis.” “liberty, equality, fraternity (brotherhood)”. Vive la France '' Long Live France''
Source: French revolutionaries storm Bastille - Jul 14, 1789 - HISTORY.com
 
Mhhhh! Basi huu ni ushahidi tosha kwamba huu ni ugaidi pamoja na kuwa haujathibishwa. Na kurushiana risasi na polisi inaonyesha pia walikuwa wamejiandaa pia kwa mashambulizi baada ya shambulizi lao hilo ili kuongeza idadi ya wafu. Inatisha sana aisee watu wataanza kuogopa maeneo yenye mkusanyiko wa watu.

Na alikuwa na explosion materials kwenye hiyo truck .
 
Mungu kasaidia mabomu yao bila shaka ya kutengeneza wenyewe hayakulipuka, vinginevyo saa hizi tungekuwa tunaongelea vifo vya zaidi ya watu mia na si ajabu vitafika vifo va zaidi ya watu mia. Hawa watu ni hatari sana.

Yup...na nadhani lengo ilikuwa ni kuligongesha hilo lori ili hivyo vilipukaji vilipuke visababishe madhara zaidi.
 
Imagine magaidi wawili au watatu wanaingia Walmart au Target siku ya Jumamosi au Jumapili mchana huku wakiwa na AK-47!

Ni majanga matupu!

Soft targets ni nyingi mno.

Kweli Mkuu, pia Inabidi Tanzania tuwe makini mahali popote tulipo, mfano serikali ikisema imebadilisha ruhusa ya shughuli ya kiimani kufanyika Uwanja wa Taifa Dar-es-Salaam, watu-wa-imani wakubali mabadiliko hayo, labda ''kunyimwa Uwanja wa Taifa'' hayo yanatokana na taarifa za Kiintelejensia na hivyo ikaamuliwa kufanyika eneo la ''wazi'' lisilo na ''mageti'' wala ''ngazingazi'' la viwanja vya Mnazi Mmoja ambapo ni salama zaidi kama ikitokea balaa basi maafa yanakuwa pungufu.

Maana tuliona ''shindikizo kubwa'' toka kwa watu-imani kwa nini serikali ''iliwanyima'' sherehe ya Kiimani isifanyike Uwanja wa Taifa.

Tunaona leo kuwa sherehe kubwa kama hii ya Kitaifa au ya Kiimani inakuwa changamoto kubwa kwa serikali maana kuhairisha sherehe kubwa ya Kitaifa huwa mara nyingi haiwezekani na ''jamaa wenye nia mbaya'' wanaweza kutumia hali hiyo kufanya mabalaa.
 
Intelligence agencies zinafeli au hazina nguvu kama tulivyoaminishwa.

Nilidhani Sehemu zenye mkusanyiko ulinzi utahimalishwa zaidi ila imekua sivyo sehemu kadhaa sasa yanapotekea haya mambo.

Binfasi najizuia kwenda kwenye mikusanyiko siku hizi labda iwe Hakuna jinsi. July 4th sikwenda kuangalia fireworks sababu ya mambo kama haya

Wapumzike kwa Amani
 
Intelligence agencies zinafeli au hazina nguvu kama tulivyoaminishwa.

Nilidhani Sehemu zenye mkusanyiko ulinzi utahimalishwa zaidi ila imekua sivyo sehemu kadhaa sasa yanapotekea haya mambo.

Binfasi najizuia kwenda kwenye mikusanyiko siku hizi labda iwe Hakuna jinsi. July 4th sikwenda kuangalia fireworks sababu ya mambo kama haya

Wapumzike kwa Amani

Ni changamoto kwa vyombo vya usalama, wakati wao wanakagua mabegi kuona mabomu au bunduki jamaa anakuja na ''lori'' na kuwagonga na kuwakanyaga watu walio barabarani ktk maandamano ya sherehe.

Hili ni somo kwa vyombo vya usalama na raia wa kawaida baada ya kutokea janga hili la kutumia lori kama ''silaha'' ya maangamizi. Itasaidia kukabiliana na aina yoyote ya silaha ya ''mashambulizi'' katika siku za usoni ikiwemo ''lori'', ''gari'', bunduki, vilipuzi n.k
 
Back
Top Bottom