Nic ni kampuni nzuri

Nic ni kampuni nzuri

cielo

Senior Member
Joined
Nov 2, 2011
Posts
130
Reaction score
13
Wapendwa naomba mnisaidie eti nic ni company nzuri to work with? je inalipa vizuri?
 
NIC kuna National Insurance Corporation na pia kuna NIC Bank ambayo zamani ilikuwa Savings and Finance pale JMall.
Nyingine nadhani mdau ameisema hapo juu National Industrial Credit (ingawa sina hakika kama Tz tuna kitu kama hiki).
Sasa we unamaanisha ipi?
 
kulipa vizuri inategemea na wewe mwenyewe mahitaji yako na unaridhika vipi!
Wapendwa naomba mnisaidie eti nic ni company nzuri to work with? je inalipa vizuri?
 
dah!! NIC ni nini? Weka kirefu chake wadau watoe maelezo
 
Back
Top Bottom