Wakuu kwa matatizo ya kimapenzi yaliyonitokea kuanzia leo nimeamua kuwa domo zege rasmi.
Wadau naomba munijuze faida nitakazozipata endapo nitafanikiwa adhima yangu yakuwa domo zege,natakuliza shukurani zangu za dhati kabisa na moyo mkunjufu kwa watu wakanijuza faida ya kuwa domo zenge.
Utaepuka Vikeskes Vya Mara Kwa Mar, Magonjwa Ya Kuambukizwa, Matumiz Ya Mgogo Na Magot Yatapungua Hvo Utakua Unajilalia Chal Tu, Pesa Itaonekana, Utajimwaga Ktandan Kwa Raha Zako, Matumiz Ya Vocha Yatapungua, Utakua Unapigiwa Na Wenzako Tu Haubipiw,